12 Wafariki ajali ya basi la Frester

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


12 Wafariki ajali ya basi la Frester

12 Wafariki ajali ya basi la Frester
TANZIA: Watu 12 wamefariki Dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya Barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Frester lililokuwa likitokea Bukoba kwenda Dar es salaam kugongana uso kwa uso na Lori lenye shehena ya saruji.
Ajali hiyo imetokea saa sita usiku wa kuamkia leo February 9, 2023 katika Kijiji Cha Silwa Pandambili barabara kuu ya Dodoma – Morogoro.
Chanzo cha ajali hiyo kimedaiwa ni dereva wa basi hilo kutaka kulipita gari lililokuwa mbele yake bila kuchukua tahadhari.
Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Kamishna Awadh Haji amefika eneo la ajali na kutoa rai kwa madereva kuzingatia usalama na sheria za barabarani.
Katibu Tawala mkoa wa Dodoma Dk Fatma Mganga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambapo watu 12 wamepoteza maisha.MAJINA YA AJARI YA GARI YA FRESTER
- SHINDA MAMILIONI NA GAL SPORT TANZANIA, JISAJILI HAPA KUSHINDA
- MATOKEO ya Kidato cha Nne 2022/2023
- RATIBA kamili ya hatua ya 16 Bora Azam Sports Federation Cup 2023
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.