Nijuze Habari App

Abdallah Hamis atambulishwa Simba SC

Filed in Michezo, New, Usajili by on 20/07/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Abdallah Hamis atambulishwa Simba SC

Abdallah Hamis atambulishwa Simba SC, Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Abdallah Hamisi Riziki kama mchezaji huru kwa Mkataba wa miaka miwili kutoka Orapa United ya Botswana.

Abdallah Hamisi Riziki mwenye umri wa miaka 24 amewahi kuvichezea Vilabu vya Muhoroni Youth FC, Sony Sugar, Tusker United na Bandari FC za Kenya, Orapa United ya Botswana na awali Biashara United ya Mara,

Abdallah Hamis atambulishwa Simba SC, Abdallah Hamis Simba SC,Shabani Idd Chilunda Simba SC,Abdallah Hamis Simba, Abdallah Hamis Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Abdallah Hamis, Abdallah Hamis ni mnyama, Abdallah Hamis Mchezaji mpya Simba SC,Abdallah Hamis Simba Sports Club Tanzania.Abdallah Hamisi Riziki ambaye ni mrithi wa Jonas Mkude aliyesajiliwa Yanga, ametua Simba ili kuongezea nguvu kwenye safu yao ya Kiungo kuelekea msimu mpya wa 2023/2024.

Ujio wa Abdallah Hamisi Riziki utaongeza chachu ya ushindani kwenye eneo hilo, akiungana na Sadio Kanoute, Mzamiru Yassin, Nassor Kapama na Fabrice Ngoma kwenye eneo hilo.

Abdallah Hamisi Riziki anakuwa Mchezaji mpya wa Saba kusajiliwa na Simba kuelekea msimu mpya wa 2023/2024, baada ya Mshambuliaji Shaban Idd Chilunda kutoka Azam FC, Kiungo Farbice Luamba Ngoma kutoka Al Hilal ya Sudan na beki Che Fondoh Malone Junior kutoka Cotton Sport ya Cameroon.

Wengine ni Beki wa Kulia David Kameta aliyerejeshwa kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro alipokuwa kwa mkopo, kiungo Mshambuliaji, Aubin Kramo Kouamé kutoka ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Mshambuliaji, Leandre Essomba Willy Onana kutoka Rayon Sport ya Rwanda.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Abdallah Hamis atambulishwa Simba SC, Abdallah Hamisi Riziki Simba SC,Abdallah Hamisi Riziki Simba SC,Abdallah Hamis Simba, Abdallah Hamis Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Abdallah Hamis, Abdallah Hamisi Riziki ni mnyama, Abdallah Hamis Mchezaji mpya Simba SC,Abdallah Hamisi Riziki Simba Sports Club Tanzania.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *