Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu, Lipa Kwa M-Pesa Vodacom Tanzania, M-Pesa / Lipa kwa simu. Lipa kwa Simu. Lipa Kwa Simu, Vodacom Tanzania.
- MFAHAMU Feisal Salum Abdallah “Fei Toto”
- MAJINA ya waliochaguliwa Kujiunga na VETA Tanzania 2023
- NECTA Matokeo ya Darasa la Saba 2022/2023
Piga *150*00# au tumia M-Pesa App.

Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
LIPA kwa Simu au LIPA kwa M-pesa ni huduma ya kisasa na jumuishi ya mfumo wa malipo utakao wezesha Makampuni, Mawakala wa jumla na rejareja na Wafanyabiashara wengine kulipia bidhaa zao kwa kutumia M-PESA.
Huduma hii ya LIPA kwa Simu imekuja ili kuboresha mazingira ya Wafanyabiashara na Makampuni kwa kupanua mbinu za malipo kutoka kwa wafanyabiashara na Makampuni na Wauzaji wa aina mbalimbali.
Mawakala wa jumla na rejareja wataweza kununua na kulipia bidhaaa zao kwa kutumia huduma hii ya LIPA KWA M-PESA au LIPA KWA SIMU, Njia hii ni ya haraka, salama na inampa mteja wepesi zaidi wa kufanya biashara.
Mfanyabiashara atakuwa na Lipa namba na QR code ambazo zitaruhusu wateja kulipia bidhaa kwa kuingiza Lipa namba au kuskani picha ya QR.
Jinsi ya Kutumia:
MTEJA:
Kwenye USSD
Piga *150*00#
Chagua 4 (Lipa kwa M-pesa)
Chagua 1 ( Lipa kwa Simu)
Ingiza Lipa Namba
Ingiza LIPA Namba
Ingiza kiasi cha kulipa
Ingiza namba ya Siri kuthibitisha.
Ndugu mteja wa Vodacom Tanzania Unaweza kutuma hadi Tshs 3m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 5m kwenye akaunti yako ya M-Pesa wakati wowote ukikamilisha usajili wako.
KUMBUKA:
Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom au Wakala aliyepo karibu nawe kuhakiki taarifa zako.
Hakikisha kama umesajiliwa kikamilifu kwa kupiga *106#
DOWNLOAD HAPA MAKATO MAPYA YA LIPA KWA SIMU VODACOM PDF
Unapofanya malipo kwa wafanyabiashara waliosajiliwa katika huduma ya LIPA KWA M-PESA utatozwa ada ndogo ya 0.5% ya kiasi unacholipa kwa malipo yote ya hadi Tsh 1,500,000/=.
Kwa msaada zaidi wasiliana na huduma kwa wateja kwa kupiga namba 100 bure.
Revolutionizing digital payments in Tanzania
Pay by Phone is Vodacom’s Merchant payments solution launched In November 2016 to digitize payments in the Tanzania retail Ecosystem and enable merchants and retailers collect payments seamlessly while helping customers to avoid the risks and burdens of carrying cash. In March 2017 Vodacom enhanced the service by launching a new M-Pesa App which amongst other benefits, supports QR-code payments which simplifies the payment experience further by eliminating the need to type in till numbers at retail touch points. QR codes is new in mobile money platforms in Tanzania, geared to enable simplicity and sophistication of M-Pesa transactions.
Pay by phone has enabled customers of all networks and banks to achieve payments easier, security compared to cash that is costly and risky which is why we say M-Pesa home of digital payments since customers from all networks and banks have been enabled to pay merchants from their Lipa number. Paying with your phone allows you to get the following benefits
- All networks and bank accounts connected to M-Pesa payments to reduce the hassle of having multiple till numbers
- Safe, not bulky and risk-free. (Avoids risk of robbery, theft, fake notes, Contaminations with Germs)
- Faster and convenient for distance payments (higher velocity compared to cash)
- Simple and efficient. No hassle for change, Simplicity of QR codes, keeps all transaction records.
- Pay by Phone solution will enable you to pay conveniently to a diverse group of merchants across all sectors like Pubs and Bars, Hotels, Restaurants and Cafes, Supermarkets, Fuel stations, Cinema outlets, Pharmacies, Hardware stores
A NOTE FOR MERCHANTS: Your merchant till (Lipa number) is only for collecting payments from goods or services offered by your business (Lipa transactions), It is a crime to use your Lipa number to perform any other transaction types that are not directly linked with receipt of payments from goods or services offered by your business. If your merchant till will be found to perform a different type of transaction that are not merchant payments related, Vodacom will put charges in the merchant till to reflect the nature of the transactions.
HOW TO PAY MERCHANTS with M-Pesa Lipa Number : VODACOM CUSTOMERS: Using USSD
- 1. Dial *150*00#
- 2. Select Pay by phone
- 3. Enter Lipa number
- 4. Enter amount in Tshs
- 5. Enter M-Pesa pin
- 6. You will receive an SMS to confirm the transaction.
Using M-Pesa APP
- 1. Launch M-Pesa app and tap on the QR icon top right
- 2. Scan the QR code that is on the table talker/sticker
- 3. Enter amount followed by pin to complete transaction
HOW TO PAY MERCHANTS: Tigo CUSTOMERS
- 1. Dial *150*00#
- 2. Select send money
- 3. Select to other networks
- 4. Select M-Pesa
- 5. Enter Lipa number(seven digits)
- 6. Enter amount in Tshs and pin
- 7. You will receive an SMS to confirm transaction.
HOW TO PAY MERCHANTS: Halotel CUSTOMERS
- 1. Dial *150*88#
- 2. Select send money
- 3. Select to other networks
- 4. Select M-Pesa
- 5. Enter Lipa number(seven digits)
- 6. Enter amount in Tshs and pin
- 7. You will receive an SMS to confirm transaction.
HOW TO PAY MERCHANTS: Zantel CUSTOMERS
- 1. Dial *150*02#
- 2. Select send money
- 3. Select to other networks
- 4. Select M-Pesa
- 5. Enter Lipa number(seven digits)
- 6. Enter amount in Tshs and pin
- 7. You will receive an SMS to confirm transaction.
HOW TO PAY MERCHANTS: Airtel CUSTOMERS
- 1. Dial *150*60#
- 2. Select send money
- 3. Select to other networks
- 4. Select M-Pesa
- 5. Enter Lipa number(seven digits)
- 6. Enter amount in Tshs and pin
- 7. You will receive an SMS to confirm transaction.
HOW TO PAY MERCHANTS: Paying from Bank accounts
- 1. Open your banks financial service menu
- 2. Select payments
- 3. Select pay with
- 4. Select Lipa kwa M-Pesa
- 5. Enter Lipa number(seven digits)
- 6. Enter amount in Tshs followed by your bank Pin
- 7. You will receive an SMS to confirm the transaction.
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- Simba yapangwa kundi C CAF Champions League 2022/2023
- Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
- PATA bonasi hadi 230000 na Helabet Tanzania
- JINSI ya kuweka Pesa Helabet Tanzania
- Jinsi ya kujisajili na HELABET Tanzania
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, ADA/MAKATO YA LIPA KWA M-PESA/SIMU, Download Lipa kwa M-pesa hapa, Download Lipa kwa simu, Download M-pesa Lipa kwa simu hapa, Global Publishers michezo, Habari za Michezo, LIPA kwa M-pesa HAPA, Lipa Kwa M-Pesa Vodacom Tanzania, Lipa kwa Simu, LIPA kwa Simu hapa, M-Pesa / Lipa kwa simu. Lipa kwa Simu. Lipa Kwa Simu, Magazeti, Makato ya LIPA kwa Simu, Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Usajili, Vodacom Tanzania