Nijuze Habari App

Ahmed Ally ataja sababu ya Baleke kurejea DR Congo

Filed in Michezo, New by on 08/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Ahmed Ally ataja sababu ya Baleke kurejea DR Congo

Ahmed Ally ataja sababu ya Baleke kurejea DR Congo

Ahmed Ally ataja sababu ya Baleke kurejea DR Congo

Ahmed Ally ataja sababu ya Baleke kurejea DR Congo, Mshambuliaji wa Klabu ya Simba SC, Jean Baleke Othos amerejea nchini kwao DR Congo kwaajili ya kuhuisha passport yake ambayo imejaa.

Aidha Simba itaondoka Jumanne ijayo kuelekea nchini Uturuki kwaajili ya kambi ya maandalizi ya msimu mpya w 2023/2024.

Hata hivyo Baleke hatokuwa miongoni mwa Wachezaji watakaosafiri kwaajili ya kambi hiyo, kwani hawezi kuingia Uturuki kwa kuwa hana Visa.

Ahmed Ally ataja sababu ya Baleke kurejea DR CongoKutokana na changamoto hiyo Baleke amelazimika kurejea DR Congo ili kupata passport mpya.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally amewataka Wanachama na Mashabiki wa Simba kupuuza taarifa za upotoshaji zinazoenezwa mitandaoni.

Aidha Baleke anatarajiwa kujiunga na Wachezaji wenzake nchini Uturuki baada ya kupata passport mpya.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *