Nijuze Habari App

Ahmed Ally azungumzia Usajili Simba

Filed in Usajili, Michezo by on 15/12/2022 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Ahmed Ally azungumzia Usajili Simba

Ahmed Ally azungumzia Usajili Simba, Tetesi za Usajili Simba Sports Club, tetesi za Usajili Simba SC, tetesi za Usajili Simba, tetesi za Usajili Simba Sc 2022/2023, tetesi za Usajili NBC Premier League 2022/2023, tetesi za Usajili Tanzania.

tetesi za Usajili Ligi Kuu, tetesi za Usajili Ligi Kuu ya Tanzania, dondoo za Usajili NBC Premier League 2022/2023, dondoo za Usajili Simba SC, Usajili Msimbazi, Usajili Simba SC, Usajili Simba Sports Club, Usajili Simba Tanzania.

Ahmed Ally azungumzia Usajili Simba

Ahmed Ally azungumzia Usajili Simba

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema kuwa wamejipanga kutumia vyema dirisha dogo la usajili ili kufanya maboresho muhimu ya kikosi chao.

Ahmed amesema kuwa wataleta Wachezaji wa daraja la juu kabisa ambao watashirikiana na waliopo katika kutimiza Malengo ya Klabu ya Simba msimu huu wa 2022/2023.

“Usajili wa dirisha dogo lazima ulete watu kweli, watu ambao watakuwa na mchango mkubwa kwenye timu. Kwa sababu kwenye dirisha dogo husajili wachezaji wengi, labda wawili, watatu, mmoja lakini jambo muhimu lazima wachezaji hao waje waongeze kitu kwa hawa walipo

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

“Wachezaji wetu wamepambana kutufikisha hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa hivyo mchezaji atakayesajiliwa lazima awe na mchango mkubwa kwenye mechi hizo za hatua ya makundi. Kwa hiyo niwahakikishie Wanamsimbazi, lazima tulete watu,” alitamba Ahmed

Aidha Simba inahusishwa na wachezaji kadhaa katika dirisha hili lakini Cesor Manzoki, Saido Ntibazonkiza na Luis Miquissone wametajwa zaidi na taarifa zaidi ambazo nijuzehabari inazo ni kuwa Manzoki na Ntibazonkiza tayari wamemaliza na Wekundu hao.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *