Nijuze Habari App

Alichokisema Kocha Miguel Gamondi baada ya kuwasili Tanzania

Filed in Michezo by on 08/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Alichokisema Kocha Miguel Gamondi baada ya kuwasili Tanzania

Alichokisema Kocha Miguel Gamondi baada ya kuwasili Tanzania

Alichokisema Kocha Miguel Gamondi baada ya kuwasili Tanzania

Alichokisema Kocha Miguel Gamondi baada ya kuwasili Tanzania, Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga SC, Miguel Gamondi amesema kuwa ana furaha kujiunga na Mabingwa wa Tanzania Bara kwa misimu miwili mfululizo na yuko tayari kuanza majukumu yake.

Gamondi amesema kuwa ameifuatilia Yanga iliposhiriki Michuano ya CAF msimu uliopita na alifurahishwa na maendeleo na mipango ya timu.

“Nafurahi kujiunga na Yanga, nimeifuatilia Yanga na najua malengo makuu msimu huu ni kufanya vizuri kwenye Ligi ya Mabingwa. Pia nimefurahishwa na mikakati ya timu wakati nilipozungumza na Rais”

Alichokisema Kocha Miguel Gamondi baada ya kuwasili Tanzania“Naamini baada ya kupata mapumziko kutokana na kufanya kazi mfululizo katika nchi mbalimbali, huu ni wakati sahihi kupata changamoto mpya”

“Nipo hapa kufundisha kandanda safi, kuwapa furaha mashabiki na kushinda makombe, naamini tunaweza kufanikiwa malengo yetu,” amesema Gamondi

Baada ya Gamondi kutua, wakati wowote Yanga itatangaza benchi lake la ufundi tayari kuanza maandalizi ya msimu mpya wa 2023/w024 ambapo wachezaji wanatarajiwa kuingia kambini Avic Town keshokutwa Jumatatu.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *