Nijuze Habari

ALICHOSEMA Manara baada ya kufungiwa na TFF

Filed in Michezo by on 21/07/2022 0 Comments

Haji Manara Yanga SCMsemaji wa Klabu ya Young Africans, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na Mpira wa Miguu (Soka), Kwa kipindi Cha Miaka miwili na faini ya Shilingi Milioni 20.

Nijuze Habari Application

ALICHOSEMA Manara baada ya kufungiwa na TFF

Haji Manara Yanga SCMsemaji wa Klabu ya Young Africans, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na Mpira wa Miguu (Soka), Kwa kipindi Cha Miaka miwili na faini ya Shilingi Milioni 20.

Maamuzi ya kufungiwa kwa Manara yametangazwa Alhamis ya July 21,2022, na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania TFF’ katika mkutano na Waandishi wa Habari.

Haji Manara Yanga SCKamati ya Maadili ya TFF ilibaini Haji alitumia Lugha ya vitisho dhidi ya Rais wa Shirikisho Wallace Karia wakati wa mchezo wa Fainali Kombe la Shirikisho ASFC’ kati ya Young Africans dhidi ya Coastal Union uliopigwa July 02,2022 Jijini Arusha kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

“Wewe unanifuatilia sana na hii ni mara ya tatu, hunifanyi lolote, huna uwezo wa kunifanya lolote. Kauli ya Manara ambayo inadaiwa aliitoa dhidi ya Rais Karia

Haji Manara ametoa kauli ya kwanza baada ya kufungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutojihusisha na soka kwa miaka miwili kwa kuandika hivi;

“Iwe ni jambo la kheri au shari, neno langu kuu ni kumshukuru Muumba Mbingu na ardhi kwa neno moja kubwa na lenye maana pana sana. AL-HAMDULILLAH,

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.