Aliyeokoa Abiria Ajali ya Ndege ziwa Victoria apokelewa Jeshi la Zimamoto
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
Aliyeokoa Abiria ajali ya Ndege ziwa Victoria apokelewa Jeshi La Zimamoto na uokoaji
Kijana Majaliwa Jackson Samweli mkazi wa Manispaa ya Bukoba aliyeokoa abiria mwenye ajali ya Ndege ziwa Victoria akiwa ofisi ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kagera alipopokelewa na Kamanda wa Mkoa kamishna msaidizi mwandamizi Zablon Muhumha.
Kijana huyo ambaye anafanya shughuli za Uvuvi katika Ziwa Victoria alipendekezwa kuingizwa kwenye Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ili kupata Mafumbo zaidi katika Jeshi hilo baada ya kuonyesha ujasiri Mkubwa katika zoezi la uokoaji wa Manusura wa ajali ya Ndege ya Precision Air iliyotokea November 06, 2022 katika Ziwa Victoria mkoani Kagera.
Agizo hilo lilitolewa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye yupo ziarani nje ya nchi, kupitia kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye alitoa hotuba katika zoezi la kuaga miili ya watu 19 waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
“Kwa ujasiri alionyesha Kijana huyu, Mhe Rais ameagiza Kijana huyu akabidhiwe kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ili apate mafunzo ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ili kupata mafunzo zaidi ya Uokoaji”, amesema Kassim Majaliwa.
- RATIBA ya Simba Queens CAF Women’s Champions League 2022
- MATOKEO Simba Queens vs Green Buffaloes November 05 2022 | CAF Women’s Champions League
- RATIBA Kamili na Makundi ya Kombe la Dunia Qatar 2022
- DOWNLOAD App ya Yanga HAPA
- MSIMAMO NBC Premier League 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji NBC Premier League 2022/2023
- PATA Namba yako ya NIDA hapa | Download ID Number Tanzania
Aidha, Waziri Mkuu aliagiza Serikali kuhakikisha Wavuvi waliopo kwenye eneo hilo la Ziwa Victoria wanapatiwa mafunzo ya Uokoaji.

Aliyeokoa Abiria Ajali ya Ndege ziwa Victoria apokelewa Jeshi la Zimamoto

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Aliyeokoa Abiria Ajali ya Ndege ziwa Victoria apokelewa Jeshi la Zimamoto