Anatafutwa na Jeshi la Polisi Tanzania

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


Anatafutwa na Jeshi la Polisi Tanzania
JINA:PASCHAL KAIGWA
UMRI:MIAKA 22
KABILA:MHAYA
MAKAZI:INADAIWA NI MKAZI WA KISHOGO HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOBA.
KOSA:MAUAJI.
Anatafutwa na Jeshi la Polisi TanzaniaMtuhumiwa anayeonekana katika Picha na Kumbukumbu zilizopo hapo juu anatafutwa na Jeshi la Polisi Kagera kwa tuhuma za kumuua Hadija Ismail mkazi wa National Housing Kata ya Rwamishenye mkoani Kagera.
Mtuhumiwa huyo alitenda unyama huo tarehe 13.02.2023 kwa Kumbaka na kumpiga na kitu kizito kichwani Bi ambaye ni mke wa Mwenyekiti wa Mtaa huo wa Rwamishenye. Read this VIDEO: Mke wa Mwenyekiti abakwa na kuuawa na Kijana aliyepewa hifadhi
Mtuhumiwa alikuwa anaishi nyumbani kwa Mwenyekiti baada ya kumuonea huruma na kumchukua kuishi naye kama Mwanafamilia akifanya shughuli za Ujenzi kwa kushirikiana na mwenyekiti huyo tangu mwezi wa 11, 2022.
Atakayemwona popote pale alijulishe Jeshi la Polisi ili akamatwe.
Jalada:BU/IR/626/2023.
- MSIMAMO Kundi C CAF Champions League 2022-2023
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili ya hatua ya 16 Bora Azam Sports Federation Cup 2023
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.