Azam FC yatinga Fainali Azam Sports Federation Cup 2023

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


Azam FC yatinga Fainali Azam Sports Federation Cup 2023

Azam FC yatinga Fainali Azam Sports Federation Cup 2023
Klabu ya Azam FC imefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho la TFF maarufu Azam Sports Federation Cup (ASFC 2023) baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba SC Leo Jumapili tarehe 7,2023, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara.
Azam FC walikuwa wa kwanza Kupata bao la kuongoza Kupitia kwa Lusajo Mwaikenda dakika ya 22, kabla ya Sadio Kanoute kuisawazishia Simba kwenye dakika ya 27.

Azam FC yatinga Fainali Azam Sports Federation Cup 2023
Shujaa wa Azam FC akawa Mshambuliaji Prince Mpumelelo Dube aliyefunga bao la Ushindi dakika ya 74 akiingia kipindi cha pili kuchukua nafasi Idris Mbombo aliyeumia.
Kwenye mchezo huo Simba ilimaliza pungufu baada ya Kanoute kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 86 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano.
Azam FC sasa itakutana na mshindi kati ya Singida Big Stars dhidi ya Young Africans katika Nusu Fainali ya Pili itakayochezwa baada mwezi huu May 2023.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- MFUMO wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online
- JINSI ya kupata mikopo ya vijana na wanawake
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: Azam FC yatinga Fainali Azam Sports Federation Cup 2023