Nijuze Habari App

Azam FC yatupwa Ethiopia, Singida Zanzibar CAF Confederation Cup 2023/24

Filed in Michezo, New by on 26/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Azam FC yatupwa Ethiopia, Singida Zanzibar CAF Confederation Cup 2023/24

Azam FC yatupwa Ethiopia, Singida Zanzibar CAF Confederation Cup 2023/24

Azam FC yatupwa Ethiopia, Singida Zanzibar CAF Confederation Cup 2023/24

Azam FC yatupwa Ethiopia, Singida Zanzibar CAF Confederation Cup 2023/24, Klabu ya Azam FC itaanzia ugenini katika michuanoya Kombe la Shirikisho Barani Afrika kwa kucheza dhidi ya Bahir Dar Kanema ya Ethiopia, katika mchezo wa Mzunguuko wa Kwanza.

Mchezo wa awali unatarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 18 hadi 20, 2023 ugenini kabla ya mechi ya marudiano kupigwa kati ya Agosti 25 hadi 27, Azam Complex.

Mshindi wa jumla wa mchezo huo, atakutana na Club Africain ya Tunisia, kwenye raundi ya pili na atakayevuka hapo atatinga hatua ya Makundi ya michuano hiyo.

Wakati huo huo Klabu ya Singida Big Stars au Singida Fountain Gate FC, ambayo itashiriki kwa mara ya kwanza Michuano ya CAF, imepangwa kucheza dhidi ya JKU ya Zanzibar.

Mchezo wa mkondo wa kwanza Singida Big Stars itakuwa nyumbani Tanzania Bara, kisha itakwenda kumalizia Zanzibar.

Mshindi wa jumla wa mchezo huo atakutana na Future SC ya Misri.

Ikumbukwe kuwa washindi wa michezo ya mzunguuko wa pili hatua ya Kwanza katika Michuano ya Kombe la Shirikisho watakwenda moja kwa moja hatua ya makundi kwa mujibu wa kanuni mpya za michuano hiyo.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *