LIVE AL AHLY VS WYDAD AC Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 3:00 Usiku. 

Bado 3 Yanga Bingwa NBC Premier League 2022/2023

Filed in Michezo by on 05/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

Bado 3 Yanga Bingwa NBC Premier League 2022/2023

NBC Premier League, Top scorer,Mechi za Yanga zilizobaki NBC,Mechi zilizobaki za Yanga,Mechi za Yanga zilizobaki 2023,Mechi za Yanga mzunguko wa pili 2023,Kwa Mechi Hizi Yanga Bingwa Wa Ligi Kuu 2022/2023.

Bado 3 Yanga Bingwa NBC Premier League 2022/2023,NBC Premier League, Top scorer,Mechi za Yanga zilizobaki NBC,Mechi zilizobaki za Yanga,Mechi za Yanga zilizobaki 2023,Mechi za Yanga mzunguko wa pili 2023,Kwa Mechi Hizi Yanga Bingwa Wa Ligi Kuu 2022/2023,Ligi Kuu Bara 2022/2023 Results, NBC Primier League 2022-23 Yanga wanashika nafasi ya Kwanza,Ratiba ya NBC Premier League 2023,Ratiba mechi za Yanga Ligi Kuu NBC Premier League 2022/2023,Yanga Bingwa NBC Premier League 2022/2023,Young Africans Mabingwa wapya 2022/2023,Yanga Mabingwa wapya 2023,Mechi za Yanga zilizobaki Ligi Kuu ya NBC,Mechi za Ubingwa Young Africans, Yanga vs Dodoma Jiji,Yanga Bingwa NBC 2022/2023.

Bado 3 Yanga Bingwa NBC Premier League 2022/2023

Klabu ya Young Africans SCz ambao ndio Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara wamebakiwa na pointi 3 tu kutawazwa Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023 Msimu wa Pili Mfululizo.

Hiyo ni baada ya Ushindi walioupata wa mabao 2-0 dhidi ya Singida Big Stars ya Singida kwenye mchezo wa raundi ya 27 NBC Premier League uliofanyika kwenye Uwanja wa Liti, Mkoani Singida jana Alhamisi May 4,2023

Mabao hayo ya Ushindi yalifungwa na Stephan Aziz Ki dakika ya 15 na Clement Mzize dakika ya 20.

Ushindi huo umeifanya Young Africans kufiikisha pointi 71 na kuendelea kuongoza Msimamo wa Ligi kwa pointi 7 zaidi ya watani zao, Simba SC baada ya wote kucheza michezo 27.

Singida Big Stars wao wanabaki na pointi zao 51 wakiwa nafasi ya nne kwenye Msimamo wa Ligi wakizidiwa pointi 2 na Azam FC waliopo nafasi ya 3 wote wakiwa wamecheza michezo 27.

Mechi ijayo ya Young Africans itakuwa dhidi ya Dodoma Jiji FC May 14 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.

RATIBA Kamili ya mechi za Yanga zinazofuata 2023

10/05/23 CAF Confederation Cup
19:00 Young Africans vs Malumo Gallants

14/05/23 NBC Premier League
19:00 Young Africans vs Dodoma Jiji

17/05/23 CAF Confederation Cup
19:00 Malumo Gallants vs Young Africans

24/05/23 NBC Premier League
16:00 Mbeya City vs Young Africans

28/05/23 NBC Premier League
16:00 Tanzania Prisons vs Young Africans

PP: Azam Sports Federation Cup
16:00 Singida Big Stars vs Young Africans

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *