Nijuze Habari

BETI kwa dau dogo la Shilingi 1 na SOKABET

Filed in Michezo by on 25/01/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

FAHAMU kuwa unaweza kubeti kwa Shilingi moja na SOKABET

Huwa unajiuliza maswali kama; NATAKA KUBETI, JINSI YA KUSHINDA BETI, JINSI YA KUBETI NA KUSHINDA KWA DAU DOGO ZAIDI?

Basi SOKABET wamefanya maboresho ya huduma zao ambapo kuna mwonekano Mpya umeongezeka kwenye Tovuti/App ambao unajibu maswali hayo.

Wameongeza mtoa huduma mpya ALTENAR kwa upande wa Sports ili kuwawezesha wateja kupata huduma nzuri zaidi za kubashiri kwa urahisi, Haraka na kwa wakati.

Fanya kuchagua BetSolutions (Mwonekano wa siku zote), ALTENAR (Mwonekano Mpya) au ALTENAR LITE (mwonekano Mpya kwa watumiaji wa Simu za Android).

Muda wowote unaweza kubadilisha, Ukiingia kwenye tovuti ya SOKABET na ukajisajili kwa KUBOFYA HAPA  Juu kabisa kushoto utaona alama ya 24/7 ambayo ukiibonyeza utapata nafasi ya Kuchat na kitengo cha huduma kwa wateja mubashara na huko utapata majibu ya maswali yote utakayouliza kuhusu JINSI YA KUPATA PESA SOKABET.

Mambo ya kuzingatia katika muonekano Mpya wa SOKABET ALTENAR

1. SOKABET ALTENAR ni nyepesi na inafunguka kwa haraka zaidi hata kwenye Slow Internet (Intaneti ikiwa chini)

2. SOKABET ALTENAR inatumia kiasi kidogo sana cha BANDO

3. SOKABET ALTENAR unaweza kubeti kuanzia dau dogo kabisa la SHILINGI 1 ya kitanzania.

4. Unaweza ku-book beti yako na kuhifadhi Booking Code na baadae kuitumia kukamilisha beti yakona SOKABET ALTENAR.

5. ALTENAR ya SOKABET unaweza ku-share na rafiki yako Booking Code yako au Bet ID yako na yeye akaitumia kuweka beti yake.

Ukichagua muonekano wa Betsolution basi utaendelea kufurahia michezo mbalimbali, CASINO MUBASHARA, na VIRTUAL GAMES kama mbio za magari, farasi, tennis n.k.

Haya yote ni ndani ya SOKABET Kwa mtoa huduma yeyote wa SOKABET utaweza kukutana na michezo maarufu kama LIGI KUU YA UINGEREZA, BUNDESLIGA ya Ujerumani au LA LIGA ya Uhispania na mashindano ya kimataifa kama KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA (AFCON), KOMBE LA DUNIA la FIFA, Kombe la UEFA pamoja na Kombe la FA, Kwa ufupi Ligi nyingi zipo ndani ya App hii.

Hii ndiyo SOKABET ya kimataifa. Enjoy, relax, bet kwa dau dogo la shilingi 1 na upige pesa za SOKABET, Piga simu 0746983630 na Kujisajili SOKABET BOFYA HAPA

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.