LIVE USM ALGER VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 4:00 Usiku.

LIVE MAN CITY VS MAN UNITED Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 11:00 Jioni.

Call For Work At Tanzania Revenue Authority TRA 2023

Filed in Ajira by on 15/02/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

Call For Work At Tanzania Revenue Authority TRA 2023

Call For Work At Tanzania Revenue Authority TRA 2023, Majina ya Walioitwa kazini TRA 2023, MAJINA ya Interview TRA 2023, Ajira Portal LoginAjira portal kuitwa kazini, Majina ya Walioitwa kazini  TRA 2023,,m Tanzania Revenue Authority vacancies, ORODHA ya Majina Walioitwa kazini  TRA – 2023, Majina ya Walioitwa kazini  TRA – 2023.

Call For Work At Tanzania Revenue Authority TRA 2023

Call For Work At Tanzania Revenue Authority TRA 2023

Majina ya Walioitwa kazini  TRA 2023,Call For Work At Tanzania Revenue Authority TRA 2023 The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is a government organ with a status of independent Department established specifically to facilitate the recruitment process of employees to the Public Service. Public Service Recruitment Secretariat was established by the Public Service Act No. 8 0f 2002 as amended by Act No. 18 of 2007, section 29(1).

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) tarehe 03-08 Januari, 2023. kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa.

ORODHA ya Majina Walioitwa kazini  TRA – 2023 Download PDF

To undertake recruitment of Public servants using modern approaches by adhering to principles of equity, transparency and merits as well as providing advice to employers on employment related matters.

Functions of Public Service Recruitment Secretariat

The major role of PSRS is to facilitate recruitment in the Public Service. According to the Public Service Cap. 298 of 2002 as amended by Amendment Act No. 18 of 2007 section 29 (1), the functions of PSRS are:-

 • Search for various professionals with special skills and prepare database for such professionals for easier recruitment;
 • Register graduates and professionals for purposes of ease of reference of filling vacant posts;
 • Advertise vacant posts occurring in the public service;
 • Engage appropriate experts for purposes of conducting interviews
 • Advise employers on various matters related to recruitment, and
 • Do any other act or thing which may be directed by the Minister responsible for Public Service.

The core values of PSRS cornerstones of work performance and conduct in adaptation to changes in society, government, politics, and technology. The following were PSRS core values:-

 • Pursuit of excellence in service delivery.
 • Loyalty to Government.
 • Diligence.
 • Integrity.
 • Courtesy to all.
 • Respect for the law, and
 • Proper use of official information

Majina Walioitwa kazini  TRA 2023

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *