Nijuze Habari

Habari

MAJINA ya Waliopitishwa na CCM Kugombea Nafasi ya Uenyekiti wa Wilaya 2022

Filed in Habari by on 30/09/2022 0 Comments
MAJINA ya Waliopitishwa na CCM Kugombea Nafasi ya Uenyekiti wa Wilaya 2022

MAJINA ya Waliopitishwa na CCM Kugombea Nafasi ya Uenyekiti wa Wilaya 2022 DOWNLOAD App mpya ya Yanga SC HAPA DOWNLOAD App Mpya ya Nijuze Habari Kutazama Mechi LIVE JISAJILI na Parmatch Ushinde Mamilioni ya fedha MAJINA ya Wanafunzi 640 waliopata Samia Scholarship Tanzania 2022/2023 ORODHA ya Wanafunzi Waliochaguliwa awamu ya Pili 2022/2023 MASHARTI 6 ya […]

Continue Reading »

BOSI mpya Vodacom Tanzania huyu hapa

Filed in Habari by on 29/09/2022 0 Comments
BOSI mpya Vodacom Tanzania huyu hapa

BOSI mpya Vodacom Tanzania huyu hapa KAMPUNI ya Vodacom Group imemteua Philip Basiimire kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC, akiwa ni mteule wa tatu ya kampuni ndani ya miezi 10. November Mosi, 2021 Hisham Hendi alitangaza kujiuzulu rasmi nafasi hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka mitano kabla ya Sitholizwe Mdlalose. Mdlalose aliyepata […]

Continue Reading »

MAJINA ya Wanafunzi 640 waliokidhi vigezo vya Samia Scholarship

Filed in Ajira, Habari by on 28/09/2022 0 Comments
MAJINA ya Wanafunzi 640 waliokidhi vigezo vya Samia Scholarship

MAJINA ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia | Scholarship 2022/2023 Samia Scholarship 2022/2023 Tanzania Samia Scholarship 2022/2023, Samia Scholarship 2022/2023 Jinsi ya kulogin, Samia Scholarship 2022/2023 Jinsi ya KuApply, Samia Scholarship Tanzania 2022-23, Mama Samia Scholarship 2022/2023,Samia Scholarship Tanzania 2022-23,Apply Mama Samiaa Scholarship 2022, Samia Scholarship,Majina ya Waliopata SAMIA Scholarship 2022/2023, […]

Continue Reading »

MASHARTI 6 ya ufadhili kwa watakaonufaika na Samia Scholarship 2022

Filed in Ajira, Habari by on 28/09/2022 0 Comments
MASHARTI 6 ya ufadhili kwa watakaonufaika na Samia Scholarship 2022

MASHARTI 6 ya ufadhili kwa watakaonufaika na Samia Scholarship 2022 UFADHILI KUPITIA SAMIA SCHOLARSHIP KWA WAHITIMU WENYE UFAULU WA JUU KATIKA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA 2022 KATIKA TAHASUSI ZA SAYANSI WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanzisha programu ya Ufadhili iitwayo SAMIA SCHOLARSHIP. SERIKALI imetoa masharti kwa wanafunzi 640 waliomaliza kidato cha sita wenye […]

Continue Reading »

MIKOA ambayo iko hatarini kupata Ebola

Filed in Habari by on 28/09/2022 0 Comments
MIKOA ambayo iko hatarini kupata Ebola

MIKOA ambayo iko hatarini kupata Ebola WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameitangaza Mikoa Mitano ambayo ipo hatarini kupata mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kuwa ni Kagera, Mwanza, Kigoma, Geita na mkoa wa Mara kufuatia mikoa hiyo kuwa karibu na wilaya ya Mubende nchini Uganda ambako ugonjwa wa Ebola upo. Akizungumza leo September 28, 2022, Waziri […]

Continue Reading »

DOWNLOAD App Mpya ya Nijuze Habari Kutazama Mechi LIVE

Filed in Habari, Michezo by on 25/09/2022 0 Comments
DOWNLOAD App Mpya ya Nijuze Habari Kutazama Mechi LIVE

DOWNLOAD app Mpya ya Nijuze Habari Bure   UPDATE App Yetu Mpya Kutazama Mechi LIVE, Magazeti ya Kila Siku asubuhi Pamoja Na Habari Nyingine Nyingi. TEMBEA NA DUNIA MKONONI MWAKO UKIWA NA APP HII, FURAHIA HABARI NA MATUKIO KILA WAKATI. Download Bure App mpya ya Nijuze Habari kuweza kuangalia Mpira na utaweza kuona matokeo na […]

Continue Reading »

ORODHA ya Wanafunzi Waliochaguliwa awamu ya Pili 2022/2023

Filed in Ajira, Habari by on 19/09/2022 1 Comment
ORODHA ya Wanafunzi Waliochaguliwa awamu ya Pili 2022/2023

University Second Selection 2022/2023 HIZI HAPA SECOND SELECTION ZA VYUO VYOTE TANZANIA 2022/2023 University Second Selection 2022/2023 Waliochaguliwa Vyuo Vikuu Second selection 2022/23,Majina ya waliochaguliwa Vyuo Vikuu 2022/2023,Second Selection Selected applicants 2022/23 – Full list of students selected to join Universities 2022. BOFYA HAPA KUANGALIA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI DEGREE 2022/2023 All […]

Continue Reading »

RATIBA ya kukosekana kwa Umeme September 2022

Filed in Habari by on 17/09/2022 0 Comments
RATIBA ya kukosekana kwa Umeme September 2022

RATIBA ya kukosekana kwa Umeme September 2022 SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ratiba ya kukosekana kwa umeme, kwenye baadhi ya maeneo nchini, kuanzia Alhamisi hadi Jumapili September 2022. Tanesco imesema kuwa sababu za kukosekana kwa umeme katika maeoneo hayo ni upungufu wa kina cha maji kwenye vituo vya kufua Umeme vya Kihansi na Pangani. […]

Continue Reading »

SHERIA ya kulinda taarifa binafsi inakuja

Filed in Habari by on 08/09/2022 0 Comments
SHERIA ya kulinda taarifa binafsi inakuja

SHERIA ya kulinda taarifa binafsi inakuja WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye amesema, Baraza la Mawaziri limeridhia kutungwa kwa sheria ya kulinda taarifa binafsi nchini. Mheshimiwa Nape ameyasema hayo September 07, 2022 wakati akifungua Mkutano wa wadau wa mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa maana ya […]

Continue Reading »

GHARAMA halisi za kuunganisha Umeme Mijini na Vijijini zatajwa

Filed in Habari by on 08/09/2022 0 Comments
GHARAMA halisi za kuunganisha Umeme Mijini na Vijijini zatajwa

GHARAMA halisi za kuunganisha Umeme Mijini na Vijijini zatajwa Gharama za kuunganisha Umeme Tanzania, Gharama mpya kuunganisha Umeme Mijini, Gharama mpya za kuunganisha Umeme Vijijini, Gharama za kuweka Umeme kwenye Nyumba, Gharama za kuweka Umeme Majumbani, Gharama za kuvuta Umeme kwako, Gharama za kuvuta Umeme Tanzania, Gharama za Umeme nchini. WAZIRI wa Nishati, January Makamba […]

Continue Reading »

EWURA bei mpya za Mafuta kuanzia September 07 2022

Filed in Habari by on 08/09/2022 0 Comments
EWURA bei mpya za Mafuta kuanzia September 07 2022

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya Petroli hapa nchini ambapo bei hizo zimeanza kutumika kuanzia leo September 7, 2022. Lengo ni kutaka wananchi wapate huduma bora bila kuwepo ongezeko litalofanya waumie katika kupata nishati hiyo hapa nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na […]

Continue Reading »

RUTO ashinda tena Mahakamani

Filed in Habari by on 05/09/2022 0 Comments
RUTO ashinda tena Mahakamani

RUTO ashinda tena Mahakamani Mahakama ya Juu imeidhinisha Uchaguzi wa William Ruto kuwa Rais mteule wa Kenya baada ya kesi iliowasilishwa na mpinzani wake mkuu katika uchaguzi huo Raila Odinga kukosa ushahidi wa kutosha. Wakitoa uamuzi wao wa pamoja, Majaji hao walioongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome walisema kwamba ushahidi uliotolewa na mlalamishi Raila Odinga […]

Continue Reading »