
USM Alger Mabingwa CAF Confederation Cup 2023
USM Alger Mabingwa CAF Confederation Cup 2023 Klabu ya USM Alger imefanikiwa kutwaa Ubingwa wao wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika 2023 licha ya kufungwa 1-0 na Yanga katika mchezo wa Fainali ya Mkondo wa Pili uliofanyika kwenye Uwanja wa Julai 5, 1962 Jijini Algiers nchini Algeria. USM Alger wamebeba Ubingwa huo kwa […]