Che Fondoh Malone Junior atua Simba SC
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
Che Fondoh Malone Junior atua Simba SC

Che Fondoh Malone Junior atua Simba SC
Che Fondoh Malone Junior atua Simba SC, Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa beki, Che Fondoh Malone Junior kutoka Cotton Sport, ambao ni Mabingwa wa Ligi Kuu ya Cameroon kwa Mkataba wa miaka miwili.
Che Malone mwenye umri wa miaka 24 raia wa Cameroon ana uwezo pia wa kucheza kama Beki wa Kulia na Kiungo Mkabaji.
Che Fondoh Malone ametua Simba kama mrithi wa Joash Onyango ambaye amepelekewa kwa mkopo Singida Fountain Gate FC ya Singida.
Aidha Che Fondoh Malone Junior ndiye Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Cameroon msimu uliopita wa 2022/2023.
Che Fondoh Malone anakuwa Mchezaji wa tatu kusajiliwa na Simba kuelekea msimu mpya wa 2023/2024, baada ya kiungo mshambuliaji Aubin Kramo Kouamé kutoka Asec Mimosas ya Ivory Coast na Mshambuliaji, Leandre Essomba Willy Onana kutoka Rayon Sport ya Rwanda.
Beki huyo ambaye anafahamika kwa jina la utani la Ukuta wa Yericko (Wall Of Jericho) Msimu uliopita aliiwezesha timu yake ya Cotton Sports kutwaa Taji la Ligi Kuu ya Cameroon huku yeye akicheza karibia mechi zote.
Che Malone ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Cameroon ‘Indomitable Lions’ pamoja na timu inayoshiriki michuano ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN).
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Che Fondoh Malone Junior atua Simba SC,Simba yamsajili Che Fondoh Malone Junior,Che Fondoh Malone Junior Simba SC,Che Fondoh Malone Simba, Che Fondoh Malone Junior Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Che Fondoh Malone Junior,Che Fondoh Malone Junior ni mnyama,Che Fondoh Malone Junior Mchezaji mpya Simba SC.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Che Fondoh Malone Junior atua Simba SC, Che Fondoh Malone Junior Mchezaji mpya Simba, Che Fondoh Malone Junior Mchezaji mpya Simba SC, Che Fondoh Malone Junior ni mnyama, Che Fondoh Malone Junior Simba SC, Che Fondoh Malone Simba, Simba yamsajili Che Fondoh Malone Junior, usajili Simba yamsajili Che Fondoh Malone Junior