CV ya Abdallah Hamis Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
CV ya Abdallah Hamis Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2023

CV ya Abdallah Hamis Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2023
CV ya Abdallah Hamis Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2023,Cv Ya Abdallah Hamis Mchezaji Mpya Wa Simba, CV Ya Abdallah Hamis Mchezaji Mpya wa Simba 2023,Abdallah Hamisi Riziki Simba SC, Mfahamu Abdallah Hamisi Riziki Mchezaji mpya Wa Simba 2023
Abdallah Hamis mwenye umri wa miaka 24 ni Mchezaji wa Mpira wa Miguu Mtanzania aliyekuwa akikipiga katika Klabu ya Orapa United ya Botswana.
Abdallah Hamisi Riziki ni Mchezaji Mpya wa Klabu ya Simba yenye maskani yake Mtaa wa Msimbazi Jijini Dar es salaam, hivi karibuni Simba imemtambulisha Hussein Kazi kama mchezaji wao wa Saba kuelekea msimu ujao wa 2023/24.
Abdallah Hamisi Riziki mzaliwa wa Mkoa wa Mara amewahi kuvichezea Vilabu vya Sony Sugar, Tusker United na Bandari FC za Kenya, Orapa United ya Botswana na awali Biashara United ya Mara.
Abdallah Hamisi Riziki alianza soka lake nyumbani kwao Tarime akizichezea timu za Tarime United na baadae Tarime Warriors, kabla ya kutimkia Stand United ‘Chama la Wana’ ya Shinyanga na kuisaidia kupanda daraja hadi Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Baada ya hapo Abdallah Hamisi Riziki alihamia nchini Kenya na kuanza kuchezea kikosi cha vijana cha Muhoroni kabla ya kupata nafasi katika kikosi cha kwanza cha wakubwa.
Name in home country:Abdallah Hamisi Riziki
Date of birth:Nov 16, 1998
Place of birth:Dar-es-Salaam
Age:24
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Height:1,75 m
Citizenship: Tanzania
Position: midfield – Central Midfield Player
agent: Relatives
Former Club:Orapa United FC
Joined: May 31, 2019
Current club:Simba SC Tanzania
Joined: Julai 20, 2023
Contract expires: Julai 20, 2026
CV ya Abdallah Hamisi Riziki Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2023, CV Ya Abdallah Hamis Wa Simba, Mfahamu Abdallah Hamis, Abdallah Hamisi Riziki Profile Player, Mfahamu Abdallah Hamis New Simba Player 2023,CV Ya Mchezaji Abdallah Hamisi Riziki,Mfahamu Abdallah Hamisi Riziki Mchezaji Mpya wa Simba.
Profile ya Abdallah Hamis wa simba,Abdallah Hamis CV ya Abdallah Hamis Player Profile, Wasifu wa Abdallah Hamis, Abdallah Hamis CV, Abdallah Hamis Profile, Abdallah Hamis Team Plays, Abdallah Hamis timu alizocheza, timu alizocheza Abdallah Hamis, timu alizochezea Abdallah Hamis, Abdallah Hamis ni mnyama.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Abdallah Hamis CV, Abdallah Hamis CV ya Abdallah Hamis Player Profile, Abdallah Hamis ni mnyama, Abdallah Hamis Profile, Abdallah Hamis Profile Player, Abdallah Hamis Team Plays, Abdallah Hamis timu alizocheza, Cv Ya Abdallah Hamis Mchezaji Mpya Wa Simba, CV Ya Abdallah Hamis Mchezaji Mpya wa Simba 2023, CV ya Abdallah Hamis Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2023, CV Ya Abdallah Hamis Wa Simba, CV Ya Mchezaji Abdallah Hamis, Mfahamu Abdallah Hamis, Mfahamu Abdallah Hamis Mchezaji Mpya wa Simba, Mfahamu Abdallah Hamis New Simba Player 2023, Profile ya Abdallah Hamis wa simba, timu alizocheza Abdallah Hamis, timu alizochezea Abdallah Hamis, Wasifu wa Abdallah Hamis