CV ya Fabrice Luamba Ngoma Mchezaji mpya wa Simba 2023
SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
CV ya Fabrice Luamba Ngoma Mchezaji mpya wa Simba 2023
CV ya Fabrice Luamba Ngoma Mchezaji mpya wa Simba 2023,Mfahamu Fabrice Luamba Ngoma Mchezaji mpya wa Simba SC,umri wa Fabrice Luamba Ngoma, CV ya Fabrice Luamba Ngoma Simba Sports Club, Fabrice Luamba Ngoma asajiliwa Simba sc, timu alizocheza Fabrice Luamba Ngoma, Fabrice Luamba Ngoma Ni Mnyama, Fabrice Luamba Ngoma Simba Sports Club 2023, miaka ya Fabrice Luamba Ngoma.
Fabrice Luamba Ngoma ni Mchezaji wa Mpira wa Miguu raia wa DR Congo aliyekuwa akikipiga katika Klabu ya Al Hilal ya Sudan.
Fabrice Luamba Ngoma mwenye umri wa miaka 29 ni Mchezaji Mpya wa Klabu ya Simba yenye maskani yake Mtaa wa Msimbazi Jijini Dar es salaam, hivi karibuni Simba imemtambulisha Fabrice Luamba Ngoma kama mchezaji wao wa tano kuelekea msimu ujao wa 2023/24.
Fabrice Luamba Ngoma ni kiungo mzoefu aliyeibukia klabu ya Sharks XI mwaka 2014, kabla ya kuhamia MK Etanchéité mwaka 2015 zote za DR Congo.
Mwaka 2017 Ngoma alihamia Ifeanyi Ubah ya Nigeria kabla ya mwaka kurejea nyumbani 2019 na kusajiliwa na AS Vita Club hadi 2022 alipohamia Raja Casablanca ya Morocco.
Baadae mwaka huo huo alihamia Al-Fahaheel SC ya Kuwait kabla ya mapema mwaka huu 2023 kutua Al-Hilal ya Sudan ambapo ametoka na kujiunga na Simba Sports Club ya Tanzania.
Personal information | |||
---|---|---|---|
Full name | Fabrice Luamba Ngoma | ||
Date of birth | 22 January 1994 | ||
Place of birth | Kinshasa, Zaire | ||
Height | 1.88 m (6 ft 2 in) | ||
Position(s) | Midfielder | ||
Team information | |||
Current team
|
Al-Hilal Club | ||
Number | 35 | ||
Senior career* | |||
Years | Team | Apps | (Gls) |
2013–2014 | FC Arc-en-Ciel | ||
2014–2015 | Sharks XI | ||
2015–2017 | MK Etanchéité | ||
2017 | Ifeanyi Ubah | 15 | (0) |
2017–2019 | AS Vita Club | ||
2019–2022 | Raja CA | 18 | (0) |
2022-2023 | Al-Fahaheel SC | ||
2023- | Al-Hilal Club | ||
International career‡ | |||
2018– | DR Congo | 17 | (0) |
Fabrice Ngoma alijiunga na Al Hilal mwaka wa 2022. Alijiimarisha haraka kama mchezaji muhimu wa timu hiyo kutokana na uwezo wake wa kiufundi, ustadi mbalimbali na ufahamu wa kimbinu.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Mtindo wa uchezaji wa Ngoma unadhihirishwa na uchezaji wake bora wa pasi, kuona mbali na uwezo wa kumiliki mpira. Uchezaji wa Ngoma uwanjani umemfanya kutambulika ndani na nje ya nchi.
Amesifiwa kwa uwezo wake wa kuamua kasi ya mchezo, kutengeneza nafasi za kufunga kwa wachezaji wenzake, na kuchangia kwa upande wa ulinzi.
Uwepo wake kwenye safu ya kiungo hutoa utulivu na usawa kwa mchezo wa jumla wa timu yake.
Michango ya Ngoma iliisaidia Al Hilal kupata Mafanikio katika Mashindano mbalimbali. Timu hiyo imekuwa ikifanya vyema mara kwa mara katika Ligi Kuu ya Sudan, mara nyingi ikimaliza kileleni mwa Msimamo wa Ligi Kuu hiyo (Sudan Premier League)
Akiwa mchezaji, Ngoma ana ujuzi wa kiufundi, ikiwa ni pamoja na kucheza chenga, kuzuia mpira na usahihi wa upigaji mashuti.
Uwezo wake wa kuusoma mchezo unamruhusu kufanya maamuzi ya busara ndani na nje ya mpira, umahiri wa Ngoma unamwezesha kucheza nafasi tofauti ndani ya safu ya kiungo, akizoea mifumo mbalimbali ya kimbinu inayotumiwa na makocha wake.
Fabrice Luamba Ngoma, Mfahamu Fabrice Ngoma New Simba Player 2023,CV Ya Mchezaji Fabrice Luamba,Mfahamu Fabrice Ngoma Mchezaji Mpya wa Simba,Profile ya Fabrice Ngoma wa simba,Fabrice Ngoma wa Simba CV ya Fabrice Luamba Ngoma Player Profile, Wasifu wa Fabrice Ngoma, Fabrice Ngoma CV, Fabrice Ngoma Profile, Fabrice Ngoma Team Plays, Fabrice Ngoma timu alizocheza.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Tags: CV ya Fabrice Luamba Ngoma Mchezaji mpya wa Simba 2023, CV ya Fabrice Luamba Ngoma Simba Sports Club, CV Ya Mchezaji Fabrice Luamba, Fabrice Luamba Ngoma, Fabrice Luamba Ngoma asajiliwa Simba sc, Fabrice Luamba Ngoma ni mnyama, Fabrice Luamba Ngoma Simaba Sports Club 2023, Fabrice Ngoma CV, Fabrice Ngoma Profile, Fabrice Ngoma Team Plays, Fabrice Ngoma timu alizocheza., Fabrice Ngoma wa Simba CV ya Fabrice Luamba Ngoma Player Profile, Mfahamu Fabrice Luamba Ngoma Mchezaji mpya wa Simba SC, Mfahamu Fabrice Ngoma Mchezaji Mpya wa Simba, Mfahamu Fabrice Ngoma New Simba Player 2023, miaka ya Fabrice Luamba Ngoma, Profile ya Fabrice Ngoma wa simba, timu alizocheza Maxi Fabrice Luamba Ngoma, umri wa Fabrice Luamba Ngoma, Wasifu wa Fabrice Ngoma