CV ya Jonas Gerlad Mkude Mchezaji mpya wa Young Africans 2023
SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
CV ya Jonas Gerlad Mkude Mchezaji mpya wa Young Africans 2023
CV ya Jonas Gerlad Mkude Mchezaji mpya wa Young Africans 2023, Mfahamu Jonas Mkude Mchezaji mpya wa Yanga SC,umri wa Jonas Gerlad Mkude, CV ya Jonas Mkude Yanga Sports Club, Jonas Mkude asajiliwa Yanga sc, timu alizocheza Jonas Gerlad Mkude, Jonas Mkude Ni Mwananchi, Jonas Mkude Nungu Nungu Young Africans 2023, miaka ya Jonas Gerlad Mkude.
Jonas Gerard Mkude aliyezaliwa 3 Desemba 1992 ni mchezaji wa Mpira wa Miguu wa Tanzania ambaye alicheza kama kiungo Mkabaji wa klabu ya Simba SC na timu ya taifa ya Tanzania.
Alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa tarehe 23 Februari 2012 dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo akiwa na timu ya Taifa ya Tanzania maarufu Taifa Stars.
Anachukuliwa kama mmoja wa wachezaji bora wa kizazi chake, utulivu bora, uwezo wa kupiga pasi na uwezo wa ziada wa kufunga mabao ya masafa marefu.
Mkude ameondoka Simba SC baada ya kuitumikia kwa miaka 13 toka alipojiunga nayo mwaka 2010.
Personal information | |||
---|---|---|---|
Full name | Jonas Gerard Mkude | ||
Date of birth | 3 December 1992 | ||
Place of birth | Tanzania | ||
Position(s) | Midfielder | ||
Team information | |||
Current team
|
Yanga SC | ||
Number | 20 | ||
Senior career* | |||
Years | Team | Apps | (Gls) |
2011– 2023 | Simba SC | ||
International career‡ | |||
2012– | Tanzania | 34 | (0) |
Historia Ya Mkude, Alipokuwa mdogo akicheza Mpira wa Chandimu, Mkude alianzia golini kama golikipa, tiimu ya mtaani kwake aliyoanzia kucheza barabarani na kupelekea usumbufu mkubwa kwa wapita njia.
Kipindi hicho Mkude alipata ysumbufu mkubwa kutoka kwa Mama yake ambaye hakutaka mwanaye huyo acheze Soka, lakini alijiiba na kutoroka mara kwa mara na kuendelea na mpira wa Miguu.
Mkude alikuwa mpenzi wa Soka kuliko michezo mingine na inasemekana alionyesha mapenzi na timu ya Simba aangia akiwa mdogo, umri wa miaka Minne.
Mama Mzazi wa Mkude aitwaye, Grace Ambrosse Shimba alielezea kuwa alijitahidi kumzuia Mkude asicheze Soka lakini ilishindikana, ‘Kikubwa nilikuwa nahofia Mwanangu asiumie kwani maisha yangu yalikuwa magumu Sana isitoshe nimemlea mwenyewe’, alisema Mama huyo ambaye anaishi Kinondoni B mtaa wa Kisutu.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Jonas Gerlad Mkude alizaliwa mwaka 1992Kinondoni B na makuzi yake yalikuwa huko huko Kinondoni, alianza Elimu ta Msingi mwaka 1998 katika Shule ya Hananasif na Kumaliza datasa la saba mwaka 2005.
Mkude aliendelea na Masomo ya Sekondari mwaka 2006 katika Shule ya Kambangwa hadi Mwaka 2009 alipomaliza, Klkama nilivyoanza
Kukuelezea hapo awali Mkude alijikita rasmi kwenye Soka la ushindani.
Mjomba wa Mkude anamuelezea kuwa alipogundua Kipaji cha Mpwawe alikuwa akimuamsha alfajili ili awahi mazoezini aa alipokuwa Shuleni hasa Kidato cha kwanza pale Kambangwa Sekondari kipaji chake kilizidi kuongezeka.
Mjomba huyo anamtaja Mkude kuwa amelelewa kwa Babu na Bibi ambao wote ni Marehemu, hivyo wakati wote walikuwa naye na kila aliporudi nyumbani kutoka Shule alikuwa akisimulia Matokeo yake ya Darasani bila kusahau ya Uwanjani pia.
Mkude alianza kuzivutia timu mbalimbali zilizokuwa zikimfuatilia, lakini akaeleza kuwa muda wote alijulikana kwa Jina la Jonas Mwakindagi na siyo Jonas Mkude kama ilivyo Sasa.
Timu ya kwanza Klkabisa kubisha hodi na kumchukua Mkude ilikuwa Mwanza United ya Mkoani Mwanza ambapo alijiunga na timu hiyo iliyokuwa ikishiriki Ligi Dadaja la Kwanza Tanzania Bara.
Kwakuwa timu hiyo ilikuwa na Changamoto kwenye kummalizia fedha zake za Usajili aliachana nayo, akidumu hapo kwa mwaka mmoja tu.
Baada ya kuachana na Mwanza United, Jonas Mkude alijiunga na timu ya Kombaini ya Hananasif ya Kinondoni, timu hiyo ilifanya ziara yake ya kimichezo Jijini Arusha ambapo klikwenda kwa Mwaliko Maalum, ndipo viongozi wa Simba walituma wajumbe ili kumfuatilia kijana huyo ambaye ilianza kumvizia tangu anasoma Darasa la Sita katika Shule Ya Hananasif.
Simba SC Ilimsajili Jonas Mkude na kuamua kumpeleka Katika Kikosi Chake cha Pili Simba B, kwa sababu Umri wake ilikuwa mdogo na kumuahidi kumpandisha Kikosi cha wakubwa baadae.
Akiwa Simba B, Jonas Mkude aliiwezesha Simba B kutwaa Kombe la Uhai linaloshirikisha vikosi vya Pili vya timu zinazoshirki Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mkude ambaye alionyesha Uwezo mkubwa katika michuano hiyo alikuwa miongoni mwa Wachezaji watano waliopandishwa Kikosi Cha Wakubwa.
Makocha wote walioinoa Simba hakuna hata mmoja aliyeshindwa kumuanzisha Mkude katika Kikosi chake cha Kwanza,
Mkude pia ni Mchezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na amekuwa mhimili Mkubwa kwenye timu hiyo.
Historia ya Jonas Gerlad Mkude, Historia ya Jonas Mkude Jonas Mkude Yanga Yanga SC, Usajili wa Jonas Mkude Yanga SC, Usajili wa Jonas Mkude Yanga, Yanga yamsajili Jonas Mkude, magoli aliyofunga Jonas Mkude,Jonas Mkude Young Africans Sports Club Tanzania, Jonas Mkude Mchezaji mpya wa Yanga SC, Jonas Mkude Mchezaji wa Yanga sc.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: CV ya Jonas Gerlad Mkude Mchezaji mpya wa Young Africans 2023, CV ya Jonas Mkude Yanga Sports Club, Historia ya Jonas Gerlad Mkude, Historia ya Jonas Mkude Jonas Mkude Yanga Yanga SC, Jonas Mkude Young Africans Sports Club Tanzania, Jonas Mkude asajiliwa Yanga sc, Jonas Mkude Mchezaji mpya wa Yanga SC, Jonas Mkude Mchezaji wa Yanga sc., Jonas Mkude Ni Mwananchi, Jonas Mkude Nungu Nungu Young Africans 2023, magoli aliyofunga Jonas Mkude, Mfahamu Jonas Mkude Mchezaji mpya wa Yanga SC, miaka ya Jonas Gerlad Mkude, timu alizocheza Jonas Gerlad Mkude, umri wa Jonas Gerlad Mkude, Usajili wa Jonas Mkude Yanga, Usajili wa Jonas Mkude Yanga SC, Yanga yamsajili Jonas Mkude