CV ya Maxi Mpia Nzengeli Mchezaji mpya wa Yanga 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
CV ya Maxi Mpia Nzengeli Mchezaji mpya wa Yanga 2023

CV ya Maxi Mpia Nzengeli Mchezaji mpya wa Yanga 2023
CV ya Maxi Mpia Nzengeli Mchezaji mpya wa Yanga 2023,Mfahamu Maxi Mpia Nzengeli Mchezaji mpya wa Yanga SC,umri wa Maxi Mpia Nzengeli, CV ya Maxi Mpia Nzengeli Yanga Sports Club, Maxi Mpia Nzengeli asajiliwa Yanga sc, timu alizocheza Maxi Mpia Nzengeli, Maxi Mpia Nzengeli Ni Mwananchi, Maxi Nzengeli Mbappe Young Africans 2023, miaka ya Maxi Mpia Nzengeli.
Maxi Mpia Nzengeli ni Mchezaji wa Mpira wa Miguu aliyekuwa Mchezaji wa AS Maniema Union ya Kindu, jimbo la Maniema nchini DR Congo.
Maxi Mpia Nzengeli ni Mchezaji Mpya wa Klabu ya Yanga yenye maskani yake Mtaa wa Jangwani Jijini Dar es salaam, hivi karibuni Yanga imemtambulisha Maxi Mpia Nzengeli kama mchezaji wao wa nne kuelekea msimu ujao wa 2023/24.
Maxi Mpia Nzengeli maarufu Mbappe anayesifika kuwa na kasi kubwa na uwezo wa kufunga na kusuka magoli ametua Yanga kuchukua nafasi ya Tuisila Kisinda ambaye ameachwa baada ya mkataba wake kufikia tamati.
Maxi Nzengeli anamudu kucheza winga zote mbili na Kiungo Mshambuliaji, akiwa mmoja wa wachezaji wa timu ya Taifa ya DR Congo ambapo alikuwepo kwenye kikosi cha CHAN Cha DRC akicheza Sambamba na Mika Miche wa Lupopo na Zemanga Sonze wa TP Mazembe.
Maxi Mpia Nzengeli anakuwa Mchezaji mpya wa nne wa Yanga SC kuelekea msimu mpya wa 2023/2024 baada ya usajili wa Kiungo Mkabaji Jonas Mkude kutoka Simba SC, beki Gift Fred Giggy kutoka SC Villa ya kwao Uganda na kiungo Mshambuliaji, Nickson Clement Kibabage kutoka Singida Fountain Gate FC ya Singida.
CV ya Maxi Mpia Nzengeli Mchezaji mpya wa Yanga 2023
Name in home country: Maxi Mpia Nzengeli
Date of birth: Jan 30, 2000
Place of birth: Mushie DR Congo
Age: 23
Height: 1,74 m
Citizenship: DR Congo
Position: Attack – Right Winger
Foot: right
Player agent: FSI
Current club: Young Africans SC
Joined: July 13, 2023
NATIONAL TEAM CAREER
National team
Debut 8
Matches 5
Goals 1
DR Congo: Aug 28, 2022
Où est né Maxi Mpia Nzengeli ?Maxi Mpia Nzengeli est originaire de Mushie (République Démocrate du Congo). Nationalité(s) sportive(s): République Démocrate du Congo.
Quel âge a Maxi Mpia Nzengeli ?Maxi Mpia Nzengeli est âgé de 23 ans. Sa date de naissance est le 30/01/2000.
À quel poste joue Maxi Mpia Nzengeli ?Maxi Mpia Nzengeli évolue généralement comme Milieu.
Pour quel club de foot joue Maxi Mpia Nzengeli ?Maxi Mpia Nzengeli représente le club Maniema Union (République Démocrate du Congo).
Historia ya Maxi Mpia Nzengeli, Historia ya Maxi Nzengeli Yanga Yanga SC, Usajili wa Maxi Mpia Nzengeli Yanga SC, Usajili wa Maxi Mpia Nzengeli Yanga, Yanga yamsajili Maxi Mpia Nzengeli, magoli aliyofunga Maxi Mpia Nzengeli,Maxi Nzengeli Young Africans Sports Club Tanzania, Maxi Nzengeli Mchezaji mpya wa Yanga SC, Maxi Nzengeli Mchezaji wa Yanga sc 2023
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: CV ya Maxi Mpia Nzengeli Mchezaji mpya wa Yanga 2023, CV ya Maxi Mpia Nzengeli Yanga Sports Club, Historia ya Maxi Mpia Nzengeli, Historia ya Maxi Nzengeli Yanga Yanga SC, magoli aliyofunga Maxi Mpia Nzengeli, Maxi Mpia Nzengeli asajiliwa Yanga sc, Maxi Mpia Nzengeli Ni Mwananchi, Maxi Nzengeli Mbappe Young Africans 2023, Maxi Nzengeli Mchezaji mpya wa Yanga SC, Maxi Nzengeli Mchezaji wa Yanga sc 2023, Maxi Nzengeli Young Africans Sports Club Tanzania, Mfahamu Maxi Mpia Nzengeli Mchezaji mpya wa Yanga SC, miaka ya Maxi Mpia Nzengeli, timu alizocheza Maxi Mpia Nzengeli, umri wa Maxi Mpia Nzengeli, Usajili wa Maxi Mpia Nzengeli Yanga, Usajili wa Maxi Mpia Nzengeli Yanga SC, Yanga yamsajili Maxi Mpia Nzengeli