CV ya Shaaban Idd Chilunda Mchezaji mpya Wa Simba SC 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
CV ya Shaban Idd Chilunda Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2023

CV ya Shaban Idd Chilunda Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2023
Cv ya Shaban Idd Chilunda Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2023,Cv Ya Shaban Idd Chilunda Mchezaji Mpya Wa Simba, CV Ya Shaban Idd Chilunda Mchezaji Mpya wa Simba SC 2023.
Shaban Idd Chilunda ni Mchezaji wa Mpira wa Miguu Mtanzania aliyekuwa akikipiga katika Klabu ya Azam FC ya hapa Tanzania.
Shaban Idd Chilunda mwenye umri wa miaka 25 mzaliwa wa Tandahimba ni Mchezaji Mpya wa Klabu ya Simba yenye maskani yake Mtaa wa Msimbazi Jijini Dar es salaam, hivi karibuni Simba imemtambulisha Shaban Idd Chilunda kama mchezaji wao wa Sita kuelekea msimu ujao wa 2023/24.
Chilunda alianza maisha yake ya soka akiwa na umri mdogo, akionyesha kuwa na kipaji uwanjani, alijiunga na kikosi cha vijana cha Azam FC mwaka 2012, akapandishwa kikosi cha kwanza mwaka 2016.
Julai 9, 2018, Chilunda alifunga mabao manne katika ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Rayon Sports FC kwenye michuano ya Kombe la Kagame Interclub mwaka huo, pia alifunga bao la kwanza katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Simba SC.
Personal information | |||
---|---|---|---|
Full name | Shaaban Idd Chilunda | ||
Date of birth | 20 June 1998 | ||
Place of birth | Tandahimba, Tanzania | ||
Height | 1.78 m (5 ft 10 in) | ||
Position(s) | Striker | ||
Team information | |||
Current team
|
Simba SC | ||
Youth career | |||
Own | |||
2012–2016 | Azam | ||
Senior career* | |||
Years | Team | Apps | (Gls) |
2016–2020 | Azam | ||
2018–2019 | → Tenerife (loan) | 3 | (0) |
2019 | → Izarra (loan) | 7 | (0) |
2020 | Moghreb Tétouan | ||
International career‡ | |||
2018– | Tanzania | 2 | (0) |
Uchezaji wake mzuri ndani ya Azam FC ulimfanya atambuliwe nje ya mipaka ya Tanzania. Mwaka 2018, Chilunda alisajiliwa na klabu ya CD Tenerife ya Segunda División ya Uhispania kwa mkopo kutoka Azam FC.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Hatua hii iliashiria hatua muhimu katika maisha yake ya soka kwani alipata fursa ya kushindana katika mojawapo ya Ligi kubwa Barani Ulaya.
Wakati wake akiwa CD Tenerife, Chilunda alionyesha ujuzi wake na kubadilika kwa kiwango cha juu cha ushindani, 2019 alitolewa kwa mkopo kwenda CD Izarra ya Hispania pia na 2022 alitolewa kwa mkopo kwenda Moghreb Tetouan ya Morocco.
Muda wa mkopo wa Chilunda ulipomalizika 2020 akarejea tena Azam FC, hata hivyo, muda wake nchini Hispania bila shaka ulikuwa umempa uzoefu muhimu na kufichua viwango vya kimataifa vya soka.
CV ya Shaban Idd Chilunda Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2023, CV Ya Shaban Idd Chilunda Wa Simba, Mfahamu Shaban Idd Chilunda, Saaban Idd Chilunda Profile Player,Shaban Idd Chilunda, Mfahamu Shaban Idd Chilunda New Simba Player 2023,CV Ya Mchezaji Shaban Chilunda,Mfahamu Shaban Idd Chilunda Mchezaji Mpya wa Simba.
Profile ya Shaban Idd Chilunda wa simba,Shaban Chilunda wa Simba CV ya Shaban Idd Chilunda Player Profile, Wasifu wa Chilunda, Shaban Idd Chilunda CV, Shaban Chilunda Profile, Shaban Idd Chilunda Team Plays, Shaban Idd Chilunda timu alizocheza, timu alizocheza Shaban Idd Chilunda, timu alizochezea Shaban Idd Chilunda, Shaban Idd Chilunda ni mnyama.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Tags: CV Ya Mchezaji Shaban Chilunda, CV ya Shaban Idd Chilunda Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2023, CV Ya Shaban Idd Chilunda Wa Simba, Mfahamu Shaban Idd Chilunda, Mfahamu Shaban Idd Chilunda Mchezaji Mpya wa Simba, Mfahamu Shaban Idd Chilunda New Simba Player 2023, Profile ya Shaban Idd Chilunda wa simba, Saaban Idd Chilunda Profile Player, Shaban Chilunda Profile, Shaban Chilunda wa Simba CV ya Shaban Idd Chilunda Player Profile, Shaban Idd Chilunda, Shaban Idd Chilunda CV, Shaban Idd Chilunda Team Plays, Shaban Idd Chilunda timu alizocheza, timu alizocheza Shaban Idd Chilunda, timu alizochezea Shaban Idd Chilunda., Wasifu wa Chilunda