CV ya Zouzoua Pacome Mchezaji mpya wa Yanga 2023
SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
CV ya Zouzoua Pacome Mchezaji mpya wa Yanga 2023
CV ya Zouzoua Pacome Mchezaji mpya wa Yanga 2023,Mfahamu Zouzoua Pacome New Yanga Player 2023, CV Ya Mchezaji Zouzoua Pacome,Mfahamu Zouzoua Pacome Mchezaji Mpya wa Yanga 2023, Profile ya Zouzoua Pacome wa Yanga, Zouzoua Pacome Mchezaji mpya wa Yanga SC 2023.
Zouzoua Pacome ni Mchezaji wa Mpira wa Miguu raia wa Ivory Coast aliyekuwa akikipiga katika Klabu ya ASEC Mimosas yenye maskani yake Abidjan, Ivory Coast.
Zouzoua Pacome kwa jina la nyumbani Peodoh Pacôme Zouzoua mwenye umri wa miaka 26, aliyezaliwa tarehe 30 April 1997 huko Abidjan , Ivory Coast ni Mchezaji Mpya wa Yanga yenye maskani yake Mtaa wa Jangwani Jijini Dar es salaam,hivi karibuni Yanga imemtambulisha Zouzoua Pacome kama mchezaji wao wa Saba kuelekea msimu ujao wa 2023/24.
Pacome ndiye mchezaji Bora wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast wa msimu uliomalizika wa 2022/2023 akiwashinda Kwame Kramo aliyesajiliwa na Simba SC, Mohammed Zoungrana na beki Yao Kouas Attohoula aliyesajiliwa Yanga.
Pacome anao uwezo wa kucheza nafasi ya kiungo Mshambuliaji namba 10 na namba 8 pia kama ilivyokuwa kwa Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’.
Name in home country:
Peodoh Pacôme Zouzoua
Date of birth: Apr 30, 1997
Age: 26
Height: 1,80 m
Citizenship:
Cote d’Ivoire Cote d’Ivoire
Position: midfield – Central Midfield
Foot: right
Player agent: Zambro Sport
Current club: ASEC Mimosas
ASEC Mimosas
Joined:
Aug 15, 2021
Contract expires: 2023
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Akiwa katika shule ya vijana, Zouzoua alionyesha talanta yake na uwezo wake, ambayo ilisababisha kupandishwa kwa timu ya wakubwa mwaka wa 2015.
Ndani ya msimu wa 2022/23, Pacome aliyeanza maisha yake ya soka kwenye timu ya vijana ya Sparta Prague ya Jamuhuri ya Czech, amefunga mabao 7 na kutoa pazi za mabao 4.
Vilevile, Pacome amepita kwenye timu tofauti tofauti ikiwemo, SC Gagnoa, Daugavpils, Africa Sports kabla ya kutua ASEC Mimosas msimu wa 2021/2022.
Uchezaji wake uwanjani ulimfanya kutambuliwa na kusifiwa kutoka kwa mashabiki, Mtindo wa uchezaji wa Zouzoua unaonyeshwa na kasi na wepesi, ambao humruhusu kuwapita mabeki na kutengeneza nafasi za kufunga yeye na wachezaji wenzake.
Ana ustadi bora wa kuchezea chenga na ana jicho pevu la goli, na kumfanya kuwa tishio la mara kwa mara kwa safu pinzani za ulinzi.
Mbali na mafanikio yake ya ndani akiwa na ASEC Mimosas, Zouzoua pia ameiwakilisha Ivory Coast katika ngazi ya kimataifa. Amekuwa akiitwa kwenye timu ya taifa mara kadhaa na kushiriki michuano mbalimbali ikiwemo Kombe la Mataifa ya Afrika.
Kujitolea kwake kwa ubora kumemletea heshima kutoka kwa wachezaji wenzake na makocha. Kufikia sasa, Pacome Zouzoua ameichezea ASEC Mimosas, akichangia mafanikio ya timu hiyo katika mashindano ya ndani.
Uchezaji wake umevutia vilabu vingine, ndani na nje, na anachukuliwa kuwa nyota anayechipukia katika soka la Afrika.
Peodoh Pacôme Zouzoua, Peodoh Pacome Zouzoua – Player Profile – Football, CV ya Peodoh Pacôme Zouzoua Player Profile, Wasifu wa Peodoh Pacôme Zouzoua, Peodoh Pacôme Zouzoua CV, Peodoh Pacôme Zouzoua Profile, Peodoh Pacôme Zouzoua Team Plays, Peodoh Pacôme Zouzoua timu alizocheza, umri wa Peodoh Pacôme Zouzoua, miaka ya Peodoh Pacôme Zouzoua,Peodoh Pacôme Zouzoua Mchezaji mpya wa Yanga, Peodoh Pacôme Zouzoua Mchezaji mpya wa Young Africans Tanzania.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: CV Ya Mchezaji Zouzoua Pacome, CV ya Peodoh Pacôme Zouzoua Player Profile, CV ya Zouzoua Pacome Mchezaji mpya wa Yanga 2023, Mfahamu Zouzoua Pacome Mchezaji Mpya wa Yanga 2023, Mfahamu Zouzoua Pacome New Yanga Player 2023, miaka ya Peodoh Pacôme Zouzoua, Peodoh Pacôme Zouzoua, Peodoh Pacome Zouzoua - Player Profile - Football, Peodoh Pacôme Zouzoua CV, Peodoh Pacôme Zouzoua Mchezaji mpya wa Yanga, Peodoh Pacôme Zouzoua Mchezaji mpya wa Young Africans Tanzania., Peodoh Pacôme Zouzoua Profile, Peodoh Pacôme Zouzoua Team Plays, Peodoh Pacôme Zouzoua timu alizocheza, Profile ya Zouzoua Pacome wa Yanga, umri wa Peodoh Pacôme Zouzoua, Wasifu wa Peodoh Pacôme Zouzoua, Zouzoua Pacome Mchezaji mpya wa Yanga SC 2023