LIVE AL AHLY VS WYDAD AC Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 3:00 Usiku. 

DIARRA Golikipa Bora NBC Premier League 2022/2023

Filed in Michezo by on 05/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

DIARRA Golikipa Bora NBC Premier League 2022/2023

DIARRA Golikipa Bora NBC Premier League 2022/2023, most clean sheets in NBC 2022/23,vinara wa clean sheet nbc 2022/2023,DIARRA Golikipa Bora NBC Premier League 2022/2023, Diarra wa Yanga,MAKIPA Vinara wa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023.

DIARRA Golikipa Bora NBC Premier League 2022/2023,most clean sheets in NBC 2022/23,vinara wa clean sheet nbc 2022/2023,DIARRA Golikipa Bora NBC Premier League 2022/2023, Diarra wa Yanga,MAKIPA Vinara wa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023,Vinara wa CleanSheets NBC Premier League 2022/2023,Makipa Wanaoongoza kwa Clean sheets Ligi Kuu ya NBC, Wanaoongoza kwa Clean sheets Ligi Kuu Tanzania Bara, Makipa Bora Ligi Kuu ya NBC, Makipa Bora Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023,Magolikipa wenye Clean Sheets nyingi NBC Premier League 2022/2023, Makipa wenye Clean Sheets nyingi NBC Premier League 202/2023, Aishi Manula Simba SC, Djigui Diarra Yanga SC.

DIARRA Golikipa Bora NBC Premier League 2022/2023

Golikipa wa Young Africans, Djigui Diarra raia wa Mali mwenye umri wa miaka 28 ameibuka Mlinda lango Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC 2022/2023)

Diarra anakuwa Kipa Bora Msimu pili Mfululizo baada ya kuondoka na Cleansheet katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Singida Big Stars, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Liti, Mkoani Singida Jana Alhamisi May 4,2023.

Kipa huyo nambari moja kwenye Klabu ya Young Africans amefikisha Cleansheet 16 ambazo haziwezi kufikishwa na Mlinda lango mwingine, huku zikisalia mechi tatu tu msimu huu wa 2022/2023 kutamatika.

Diarra mzaliwa wa Bamako amejihakikishia tuzo ya golikipa Bora 2022/2023 na kuvunja rekodi yake ya Msimu uliopita wa 2021/2022 alipofikisha Clean Sheets 15 na kuibuka golikipa Bora pia.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *