Nijuze Habari

DIRISHA la Usajili kufunguliwa July 2022

Filed in Usajili by on 22/06/2022 0 Comments

DIRISHA la Usajili kufunguliwa July 2022SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limetoa taarifa rasmi kuwa dirisha la usajili kwaajili ya msimu ujao wa kimashindano 2022/2023 nchini litafunguliwa July 01,2022.

Nijuze Habari Application

DIRISHA la Usajili kufunguliwa July 2022

DIRISHA la Usajili kufunguliwa July 2022SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limetoa taarifa rasmi kuwa dirisha la usajili kwaajili ya msimu ujao wa kimashindano 2022/2023 nchini litafunguliwa July 01,2022.

Taarifa iliyotolewa na TFF leo imesema kuwa dirisha la usajili kwa Klabu za Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite msimu wa 2022/2023 litafunguliwa July 01, 2022 na kufungwa August 31, 2022.

Katika kipindi hicho Klabu zote zinatakiwa kukamilisha usajili na uhamisho wa Kimataifa
Klabu zote zinapaswa kuzingatia muda huo wa usajili na hakutakuwa na muda wa ziada baada ya dirisha kufungwa August 31,2022.

TFF imeongeza kuwa dirisha dogo la Usajili litafunguliwa December 16, 2022 na kufungwa January 15, 2023.

UNAWEZA PIA KUSOMA PIA👇

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.