Nijuze Habari App

Dirisha la Usajili Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 lafunguliwa

Filed in Michezo, New, Usajili by on 01/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


 

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Dirisha la Usajili Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 lafunguliwa

Dirisha la Usajili Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 lafunguliwa, Dirisha la Usajili Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 lafunguliwa, Dirisha la Usajili Championship 2023/2024 lafunguliwa,Dirisha la Usajili Serengeti Lite Women's 2023/2024 lafunguliwa,Dirisha la Usajili First League 2023/2024 lafunguliwa,Tetesi Za Usajili -Dirisha Dogo La Usajili Kwa Ligi Kuu, Daraja La Kwanza, Daraja La Pili Lafunguliwa,Dirisha la usajili Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite msimu wa 2023/2024 lafunguliwa Julai 1.

Dirisha la Usajili Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 lafunguliwa

Dirisha la Usajili Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 lafunguliwa, Dirisha la Usajili (FIFA Connect) kwa Klabu za Ligi Kuu ya NBC (NBCPL), Championship League (CL), First League (FL) na Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite (SLWP) msimu wa 2023/2024 limefunguliwa rasmi leo Jumamosi July 01, 2023 na litafungwa August 31, 2023.

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa klabu zote zinazohusika zinatakiwa kufanya usajili na uhamisho wa Wachezaji.

TFF imesema kuwa hakutakuwa na muda wa ziada baada ya kufungwa kwa dirisha la usajili, tafadhali zingatia muda huo wa usajili na uhamisho.

TFF imeongeza kuwa kwa changamoto yoyote Klabu iwasiliane na Idara ya Mashindano TFF.

Aidha Usajili na Uhamisho wa Wachezaji kwa Dirisha doto utafunguliwa December 16, 2023 na lifungwa January 15, 2024.

Dirisha la Usajili Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 lafunguliwa, Dirisha la Usajili Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 lafunguliwa, Dirisha la Usajili Championship 2023/2024 lafunguliwa,Dirisha la Usajili Serengeti Lite Women's 2023/2024 lafunguliwa,Dirisha la Usajili First League 2023/2024 lafunguliwa,Tetesi Za Usajili -Dirisha Dogo La Usajili Kwa Ligi Kuu, Daraja La Kwanza, Daraja La Pili Lafunguliwa,Dirisha la usajili Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite msimu wa 2023/2024 lafunguliwa Julai 1.Dirisha la Usajili Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 lafunguliwa, Dirisha la Usajili Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 lafunguliwa, Dirisha la Usajili Championship 2023/2024 lafunguliwa,Dirisha la Usajili Serengeti Lite Women’s 2023/2024 lafunguliwa,Dirisha la Usajili First League 2023/2024 lafunguliwa,Tetesi Za Usajili -Dirisha Dogo La Usajili Kwa Ligi Kuu, Daraja La Kwanza, Daraja La Pili Lafunguliwa,Dirisha la usajili Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite msimu wa 2023/2024 lafunguliwa Julai 1.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *