Nijuze Habari App

Donwload Penati Zote Yanga SC 1-3 Simba SC | Ngao ya Jamii – 13/08/2023

Filed in Michezo, New by on 13/08/2023 0 Comments
Share This

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Donwload Penati Zote Yanga SC 1-3 Simba SC | Ngao ya Jamii – 13/08/2023

Donwload Penati Zote Yanga SC 1-3 Simba SC | Ngao ya Jamii – 13/08/2023, Klabu ya Simba SC imefanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii 2023 baada ya ushindi wa penalti 3-1 dhidi ya Yanga kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani Jijini Tanga.

Donwload Penati Zote Yanga SC 1-3 Simba SC | Ngao ya Jamii – 13/08/2023, Bonyeza HAPA Kudownload.

Shujaa wa Simba ni kipa Ally Salim aliyeokoa penati tatu mfululizo za viungo Khalid Aucho, Pacome Zouzoua na Kouassi Attohoula Yao, huku Stephane Aziz Ki akiwa ndiye Mchezaji pekee wa Yanga aliyefunga penati.

Waliofunga penalti za Simba ni Mzamiru Yassin, Leandre Willy Essomba Onana na Jean Othos Baleke, huku Penati ya Saido Ntibanzokiza ikiokolewa na kipa wa Yanga, Djigui Diarra na Yanga Moses Phiri ikipaa juu ya lango.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *