EWURA: Bei mpya za Mafuta Tanzania February 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
EWURA: Bei mpya za Mafuta Tanzania February 2023
EWURA yatangaza bei mpya za Mafuta Tanzania kuanzia February 01 2023, hizi hapa bei za mafuta February 2023, Petroli yazidi kushuka, Bei mpya za Mafuta Tanzania, Bei mpya za Mafuta ya Petrol, Bei mpya za Mafuta ya Taa, Bei mpya za Mafuta ya Diesel.

EWURA: Bei mpya za Mafuta Tanzania February 2023
Bei mpya za Mafuta February 2023, Bei za Mafuta ya Petrol Tanzania 2023, Bei za Mafuta ya Taa Tanzania 2023, Bei za Mafuta ya Diesel Tanzania 2023, hizi hapa Bei mpya za Mafuta Tanzania 2023, PDF Donwlod Bei mpya za Mafuta Tanzania, PDF File bei mpya za Mafuta February 2023.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano ya February 01, 2023 huku bei ya Dizeli, Mafuta ya taa zikishuka.
Katika taarifa iliyotolewa na Ewura, imeonyesha kuwa Jiji la Dar es Salaam dizeli, mafuta ya taa zimeshuka kwa Sh190/Lita na Sh142/Lita, mtawalia, ikilinganishwa na toleo la tarehe 4 January 2023 wakati bei ya rejareja ya mafuta ya petroli ikibakia ile ile.
Mikoa ya Kaskazini Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara bei za rejareja za February 2023 kwa mafuta ya petroli na dizeli zitaendelea kuwa zile zilizotangazwa katika toleo la tarehe 04 January 2023.
Kwa upande wa Mikoa ya Kusini Mtwara, Lindi, na Ruvuma, bei za rejareja za February 2023 kwa mafuta ya petroli na dizeli zimeshuka kwa Sh118/Lita na Sh160/Lita, mtawalia ikilinganishwa na toleo la tarehe 04 January 2023.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), ni taasisi ya udhibiti wa huduma za nishati na maji inayojitegemea, iliyoundwa kwa Sheria ya EWURA Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania na marekebisho yake Na. 6 ya mwaka 2019.
EWURA, ilianza kazi rasmi Septemba, 2006 ikiwa na wajibu wa kusimamia shughuli zote za kiuchumi na kiufundi katika sekta za Nishati(umeme, petroli na gesi asilia); na Maji (majisafi na usafi wa mazingira).
Katika kutekeleza wajibu wake, kwa uwazi na kwa manufaa ya wote, EWURA inazingatia sheria za kisekta, sera na miongozo ifuatayo:-
Sera ya Taifa ya Nishati (2015), Sera ya Taifa ya Maji (2002), Sheria ya EWURA, Sura Na. 414; Sheria ya Umeme, Sura Na. 131; Sheria ya Petroli, Sura Na. 392; Sheria ya Maji na Usafi wa Mazingira, Sura Na. 279; kanuni na miongozo mbalimbali.
Dira ya EWURA
Kuwa Mdhibiti wa Kiwango cha Kimataifa kwa Huduma Endelevu za Nishati na Maji
Dhamira ya EWURA
Kudhibiti huduma za nishati na maji kwa uwazi, ufanisi na tija ili kuhakikisha ubora, upatikanaji na unafuu wa huduma hizo
Kazi na Majukumu ya EWURA
Kwa mujibu wa Kifungu cha 7 cha Sheria ya EWURA, majukumu ya Mamlaka niajukumu hayo ni:-
- Kutekeleza kazi zote zilizoanishwa kwenye sheria ya EWURA na Sheria za Kisekta;
- Kutoa, kuhuisha na kufuta leseni;
- Kuweka na kusimamia viwango vya ubora wa huduma;
- Kudurusu na kusimamia bei za huduma,
- Kutunga sheria ndogo na kanuni;
- Kufuatilia maendeleo ya sekta zinazodhibitiwa kwa kuzingatia upatikanaji, ubora wa huduma, gharama ya huduma, ufanisi wa uzalishaji, uwekezaji na usambazaji wa huduma;
- Kusimamia utatuzi wa malalamiko na migogoro;
- Kutoa taarifa kuhusu kazi za udhibiti;
- Kupata maoni ya mamlaka zingine za kiudhibiti; na
- Kusimamia utekelezaji wa Sura Na 414 ilyoianzisha EWURA.
Katika kutekeleza kazi zake, EWURA ina wajibu wa kukuza ustawi wa Watanzania kwa kuzingatia yafuatayo:-
- Kuhimiza ushindani wenye tija na ufanisi kiuchumi;
- Kulinda maslahi ya walaji;
- Kulinda mitaji ya kifedha ya watoa huduma;
- Kuhimiza upatikanaji wa huduma zinazodhibitiwa kwa makundi yote ikiwamo wenye vipato vya chini,makundi maalumu na vijijini;
- Kuimarisha utoaji wa elimu kwa umma na kujenga uelewa kuhusu sekta zinazodhibitiwa, ikiwamo haki na wajibu wa watumiaji na watoa huduma zinazodhibitiwa, namna ya kupokea na kutatua malalamiko na migogoro na kazi, wajibu na shughuli za Mamlaka;
- Kulinda na kutunza mazingira.
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Bei mpya za Mafuta February 2023, Bei mpya za Mafuta Tanzania, Bei mpya za Mafuta ya Diesel, Bei mpya za Mafuta ya Petrol, Bei mpya za Mafuta ya Taa, Bei za Mafuta ya Diesel Tanzania 2023, Bei za Mafuta ya Petrol Tanzania 2023, Bei za Mafuta ya Taa Tanzania 2023, EWURA yatangaza bei mpya za Mafuta Tanzania kuanzia February 01 2023, EWURA: Bei mpya za Mafuta Tanzania February 2023, hizi hapa Bei mpya za Mafuta Tanzania 2023., hizi hapa bei za mafuta February 2023, PDF Donwlod Bei mpya za Mafuta Tanzania, PDF File bei mpya za Mafuta February 2023., Petroli yazidi kushuka