Nijuze Habari App

EWURA: Bei ya Mafuta yashuka. Tazama bei mpya kwa mikoa yote Tanzania kuanzia 5 July 2023

Filed in Habari, Michezo, New by on 06/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

EWURA: Bei ya Mafuta yashuka. Tazama bei mpya kwa mikoa yote Tanzania kuanzia 5 July 2023

EWURA: Bei ya Mafuta yashuka. Tazama bei mpya kwa mikoa yote Tanzania kuanzia 5 July 2023,Bei ya petroli na dizeli yashuka Julai 2023,Ahueni bei mpya za Mafuta nchini Julai 2023,EWURA yatangaza bei mpya za mafuta kuanzia Julai 5 2023,Bei ya Petrol, Dizeli Yashuka Kutum8ia Kunzia leo Jumatano July 5 2023,MAFUTA YAZIDI KUSHUKA BEI Julai 2023,Bei ya mafuta leo tanzania,Ewura bei mpya 2023,Bei ya mafuta ya diesel leo 2023,Bei ya mafuta ya petrol leo 2023,Bei ya mafuta July 2023,Jinsi ya kuangalia bei za mafuta, Bei ya petrol dizeli yashuka Julai wafanyabiashara waonywa,Bei za Petroli - Energy and Water Utilities Regulatory Authority.

EWURA: Bei ya Mafuta yashuka. Tazama bei mpya kwa mikoa yote Tanzania kuanzia 5 July 2023

EWURA: Bei ya Mafuta yashuka. Tazama bei mpya kwa mikoa yote Tanzania kuanzia 5 July 2023,Ewura Bei Mpya Za Mafuta-New Fuel Price July 2023, TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia Jumatano, Tarehe 5 Julai 2023

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini.

Bei hizi zimeanza kutumika kuanzia Jumatano, tarehe 5 Julai 2023 saa 6:01 usiku.

Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafuatayo:-

Bei za rejareja za mafuta ya petroli na dizeli yaliyopokelewa kupitia Bandari ya Dar es Salaam zimeshuka kwa shilingi 137/Lita na shilingi 118/lita, mtawalia, ikilinganishwa na bei za toleo la tarehe 7 Juni 2023.

Pia, bei ya rejareja ya mafuta ya taa kwa Julai 2023 itaendelea kuwa ni ile iliyotangazwa katika toleo la tarehe 7 Juni 2023 kwa kuwa hakuna shehena iliyopokelewa mwezi Juni 2023.

Kwa Mikoa ya Kaskazini (Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara), bei ya rejareja ya mafuta ya petroli imeshuka kwa Shilingi 188/Lita wakati bei ya mafuta ya dizeli imeongezeka kwa shilingi 58/lita ikilinganishwa na bei za toleo la tarehe 7 Juni 2023.

Kwa Mikoa ya Kusini (Lindi, Mtwara, na Ruvuma), hakuna shehena ya bidhaa za mafuta iliyopokelewa kupitia Bandari ya Mtwara kwa Juni 2023.

Hivyo basi, bei ya rejareja ya dizeli kwa mwezi Julai 2023 itaendelea kuwa ni ile iliyotangazwa katika toleo la tarehe 7 Juni 2023.

Kutokana na upungufu wa bidhaa ya petroli katika maghala ya kuhifadhi mafuta yaliyopo Mtwara, waendeshaji wa vituo vya mafuta katika mikoa ya Kusini wanashauriwa kuchukua mafuta hayo kutoka katika bandari ya Dar es Salaam.

Hivyo basi, bei za rejareja za mafuta ya petroli katika mikoa hiyo zitazingatia bei kikomo ya rejareja ya Dar es Salaam na gharama za usafirishaji mpaka mikoa husika,EWURA: Bei ya Mafuta yashuka. Tazama bei mpya kwa mikoa yote Tanzania kuanzia 5 July 2023.

EWURA: Bei ya Mafuta yashuka. Tazama bei mpya kwa mikoa yote Tanzania kuanzia 5 July 2023,Bei ya petroli na dizeli yashuka Julai 2023,Ahueni bei mpya za Mafuta nchini Julai 2023,EWURA yatangaza bei mpya za mafuta kuanzia Julai 5 2023,Bei ya Petrol, Dizeli Yashuka Kutum8ia Kunzia leo Jumatano July 5 2023,MAFUTA YAZIDI KUSHUKA BEI Julai 2023,Bei ya mafuta leo tanzania,Ewura bei mpya 2023,Bei ya mafuta ya diesel leo 2023,Bei ya mafuta ya petrol leo 2023,Bei ya mafuta July 2023,Jinsi ya kuangalia bei za mafuta, Bei ya petrol dizeli yashuka Julai wafanyabiashara waonywa,Bei za Petroli - Energy and Water Utilities Regulatory Authority.Aidha, kwa kuwa hakuna mafuta ya taa katika maghala yaliyopo katika Bandari za Tanga na Mtwara, waendeshaji wa vituo vya mafuta katika mikoa ya Kaskazini na Kusini wanashauriwa kuchukua mafuta hayo kutoka katika Bandari ya Dar es Salaam na hivyo bei za rejareja za mafuta ya taa katika mikoa hiyo zitazingatia bei kikomo ya rejareja ya Dar es Salaam na gharama za usafirishaji mpaka mikoa husika.

Bei za Mikoa, Wilaya na Miji, ni kama zinavyooneshwa katika Jedwali Na. 1.

BEI-KIKOMO-ZA-BIDHAA-ZA-MAFUTA-YA-PETROLI-KUANZIA-JUMATANO-TAREHE-5-JULAI-2023 DOWNLOAD PDF

Tofauti ya bei kutoka sehemu moja kwenda nyingine inatokana na tofauti ya bei ya mafuta katika bandari ambayo mafuta yamepakuliwa na gharama za usafirishaji.

Mabadiliko haya ya bei yanachangiwa na kubadilika kwa bei za mafuta katika soko la dunia, gharama za uagizaji (BPS Premium) na thamani ya Shilingi dhidi ya Dola ya Marekani.

Katika kutekeleza bei hizi, wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa jumla na rejareja pamoja na jamii kwa ujumla wanatakiwa kuzingatia yafuatayo: –

EWURA: Bei ya Mafuta yashuka. Tazama bei mpya kwa mikoa yote Tanzania kuanzia 5 July 2023, Bei ya petroli na dizeli yashuka Julai 2023,Ahueni bei mpya za Mafuta nchini Julai 2023,EWURA yatangaza bei mpya za mafuta kuanzia Julai 5 2023,Bei ya Petrol, Dizeli Yashuka Kutum8ia Kunzia leo Jumatano July 5 2023,MAFUTA YAZIDI KUSHUKA BEI Julai 2023,Bei ya mafuta leo tanzania,Ewura bei mpya 2023,Bei ya mafuta ya diesel leo 2023,Bei ya mafuta ya petrol leo 2023,Bei ya mafuta July 2023,Jinsi ya kuangalia bei za mafuta, Bei ya petrol dizeli yashuka Julai wafanyabiashara waonywa,Bei za Petroli – Energy and Water Utilities Regulatory Authority.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 
  • EWBei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa eneo husika zinapatikana pia kupitia simu za mkononi kwa kupiga namba *152*00# na kufuata maelekezo.
  • Huduma hii ni bure na inapatikana kupitia mitandao yote ya simu za mkononi hapa nchini.
  • Kwa mujibu wa Sheria ya Mafuta ya mwaka 2015, kifungu namba 166, bei za bidhaa za mafuta ya petroli zitaendelea kupangwa na soko.
  • EWURA itaendelea kuhamasisha ushindani kwa kutoa taarifa za bei kikomo za bidhaa za mafuta.
  • Taarifa hizi zina lengo la kuwasaidia wadau kufanya maamuzi stahiki kuhusu manunuzi ya bidhaa za mafuta.
  • Kampuni za mafuta ziko huru kuuza bidhaa za mafuta ya petroli kwa bei ya ushindani mradi tu bei hizo zisivuke bei kikomo (Price cap) au kushuka chini ya bei iliyoruhusiwa (Floor Price) kama ilivyokokotolewa kwa mujibu wa Kanuni za EWURA za Kupanga Bei za Mafuta za Mwaka 2022 zilizotangazwa kupitia Gazeti la Serikali Na. 57 la tarehe 28 Januari 2022 na marekebisho ya Kanuni hii kama yalivyotangazwa kupitia Gazeti la Serikali Na. 421 la tarehe 23 Juni 2023.
  • Vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei za bidhaa za mafuta katika mabango yanayoonekana bayana na yakionesha bei ya mafuta, punguzo, vivutio vya biashara au promosheni zinazotolewa na kituo husika.
  • Pale ambapo inawezekana kuchagua, wateja wanashauriwa kununua bidhaa za mafuta katika vituo vinavyouza mafuta kwa bei nafuu zaidi ili kushamirisha ushindani.
  • Ni kosa kuuza mafuta bila kuweka mabango ya bei inayoonekana vizuri kwa wateja.
  • Adhabu kali itatolewa kwa kituo husika kwa kutotekeleza matakwa ya kisheria kwa mujibu wa kanuni husika.
  • Wauzaji wa mafuta ya petroli wanatakiwa kutoa risiti za mauzo kutoka kwenye mashine za EFPP (Electronic Fiscal Pump Printers) na Wanunuzi wahakikishe wanapata stakabadhi hizo za malipo zinazoonyesha jina la kituo, tarehe, aina ya mafuta yaliyonunuliwa na bei kwa lita.
  • Stakabadhi hizo za malipo zitatumika kama kidhibiti kwa wanunuzi wa mafuta endapo kutajitokeza malalamiko ya aidha kuuziwa mafuta kwa bei ya juu kuliko bei kikomo au kuuziwa mafuta yasiyo na kiwango cha ubora kinachofaa, na pia, risiti hizo zitasaidia kurahisisha ukusanyaji wa kodi za Serikali zitokanazo na mauzo ya mafuta ya petroli.
  • Wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa rejareja wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei inayooneshwa katika Jedwali Na. 1.
  • Hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mfanyabiashara yoyote atakayekiuka AGIZO hili.
  • Wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa jumla wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei inayooneshwa katika Jedwali Na. 2.
  • Hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mfanyabiashara yoyote atakayekiuka AGIZO hili.

EWURA: Bei mpya za Mafuta Tanzania kuanzia Leo 5 Julai 2023, EWURA: Bei ya Mafuta yapanda. Tazama bei mpya kwa mikoa yote Tanzania kuanzia 5 May 2023,Bei ya mafuta tanzania 2023,Bei ya mafuta ya petrol leo,Bei ya mafuta ya diesel leo,Bei mpya za mafuta Tanzania, Ewura bei mpya 2023,Bei ya mafuta dar es salaam,Jinsi ya kuangalia bei za mafuta,Bei ya mafuta ya diesel leo 2023,Bei ya Mafuta ya diesel leo 2023,Bei ya petrol Dar es Salaam,Bei ya mafuta Machi 2023,EWURA diesel Price,Bei ya diesel Tanzania leo,Bei ya diesel dodoma,Bei ya diesel Kagera,Bei ya diesel Mwanza, bei mpya za Mafuta mwezi July 2023,bei mpya za Mafuta Julai 2023,bei mpya za Mafuta Tanzania mwezi Julai 2023, Bei Mpya za Mafuta Tanzania Donwload PDF,Ewura bei mpya Julai 2023,Bei ya mafuta ya diesel leo July 2023,Bei ya mafuta ya petrol leo Julai 2023,Ewura bei mpya May 2023,bei ya petrol Dar es Salaam July 2023,Bei ya mafuta leo tanzania,Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia Jumatano tarehe 5 July 2023 saa 6:01 usiku.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *