Nijuze Habari App

Fahamu Jinsi ya kulipia deni la gari lako kwa njia ya Simu

Filed in Makala by on 25/04/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


 

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Fahamu Jinsi ya kulipia deni la gari lako kwa njia ya Simu

Kuangalia deni la Gari online booking,Kuangalia Deni la Gari Bima,Kuangalia deni la gari TARURA,Kujua Kama gari inadaiwa faini,Jinsi ya kujua deni la gari au leseni na malipo yake,Jinsi ya Kuangalia deni la pikipiki,Jinsi ya kuangalia deni tra,Jinsi ya kuangalia deni la leseni,Kuangalia deni la gari parking,Jinsi ya kulipa traffic fine kwa m pesa,Faini za magari tanzania,Faini za barabarani jinsi ya kujua,Madeni ya magari tra,Jinsi ya kulipa faini ya polisi,Jinsi ya kulipa traffic fine kwa m pesa,Jinsi ya kulipa traffic fine kwa Airtel Money,Jinsi ya kulipa traffic fine kwa Tigopesa,Jinsi ya kulipa traffic fine kwa Halopesa,Jinsi ya kulipa traffic fine kwa Azam Pesa,Jinsi ya kulipa traffic fine kwa M-Pesa,Faini za magari tanzania,Jinsi ya kulipa faini ya polisi,Jinsi ya kuangalia deni tra.

Fahamu Jinsi ya kulipia deni la gari lako kwa njia ya Simu

Endapo gari lako litakumbana na faini ambayo inatakiwa kulipwa, basi unaweza tumia njia ya rahisi ya simu yako ya mkononi kufanya malipo na kuondoa deni lako.

Jinsi ya kulipia faini kwa njia ya simu fuata maelezo hapa chini.

  • Fungua menu ya malipo kama ni Airtel Money, M-pesa, Tigopesa au Halopesa
  • Chagua namba inayo husiana na kulipia bili
  • Mitandao mingine itakupa menu ya kuweza kuweka namba ya kampuni ambapo ukichagua utajaza 001001 ambayo ni namba ya kampuni.
  • Baada ya hapo utajaza kumbukumbu namba ambayo ipo kwenye receipt ya faini au TMS uliopata online Kupitia link hii https://tms.tpf.go.tz/
  • Mitandao mingine itakupa option ya kujaza kumbukumbu namba mwishoni kujaza namba ya kampuni.
  • Kwenye kumbukumbu namba jaza namba ya receipt ya TMS kwenye namba ya kampuni jaza 001001.
  • Baada ya hapo jaza kiasi cha malipo
  • Mwisho kabisa weka namba yako ya siri.
  • Deni lako litakuwa limefutika

Jinsi ya kulipa deni la traffic

Pia unaweza Lipia deni la gari lako kupitia matawi ya benki kama;

  • NBC
  •  NMB
  • CRDB

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0677038217

Kuangalia deni la Gari online booking,Kuangalia Deni la Gari Bima,Kuangalia deni la gari TARURA,Kujua Kama gari inadaiwa faini,Jinsi ya kujua deni la gari au leseni na malipo yake,Jinsi ya Kuangalia deni la pikipiki,Jinsi ya kuangalia deni tra,Jinsi ya kuangalia deni la leseni.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Kuangalia deni la gari parking,Jinsi ya kulipa traffic fine kwa m pesa,Faini za magari tanzania,Faini za barabarani jinsi ya kujua,Madeni ya magari tra,Jinsi ya kulipa faini ya polisi.Jinsi ya kulipa traffic fine kwa m pesa,Jinsi ya kulipa traffic fine kwa Airtel Money,Jinsi ya kulipa traffic fine kwa Tigopesa,Jinsi ya kulipa traffic fine kwa Halopesa,Jinsi ya kulipa traffic fine kwa Azam Pesa,Jinsi ya kulipa traffic fine kwa M-Pesa,Faini za magari tanzania,Jinsi ya kulipa faini ya polisi,Jinsi ya kuangalia deni tra.

UNAWEZA PIA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *