Nijuze Habari App

FAHAMU: Jinsi ya kuweka sahihi ya mkono Google Docs!

Filed in Makala, Michezo by on 09/04/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

FAHAMU: Jinsi ya kuweka sahihi ya mkono Google Docs!

FAHAMU: Jinsi ya kuweka sahihi ya mkono Google Docs! Sahihi za mkono za kwenye mtandao zimekua kwa kiasi kikubwa sana, mpaka sasa kuna hadi vifaa maalumu ambavyo vinaweza wezesha jambo hili.

Ukiachana na vifaa hivyo, fikiria kama utakua una uwezo wa kuweka sahihi hizo ukiwa ndani ya Google Docs.

Kama umeshawahi kutumia huduma ya  Google Drawings itakua ni rahisi Zaidi maana utakua huna haja ya kutengeneza sahihi (signature) mara mbili, kama bado haina shida.

Fuata Njia Hizi Ili Kuweza Kulifanikisha Hili

Ili Kuanza ingia katika Google Docs, na kasha ingia kupitia account yako ya Google, katika eneo ambalo unataka kuweka sahihi yako nenda katika menu alafu nenda katika Insert > Drawing na kasha chagua “New.”

Google Drawing

Google Drawing

Hapo ukurasa wa Google Drawing utatokea na uwanja wa wewe kuanza kuweka sahihi yako katika sehumu ya mistari chagua ‘scribble’ (fuata picha hapo chini)

Google Drawing

Google Drawing

Chora sahihi (signature) yako, hapa unaweza ukachora kwa kutumia mstari mmoja tuu au ukatumia kwa zaidi ya mmoja.

Hapa ukitaka kufurahia zaidi uwe na kifaa ambacho kinatumia peni spesheli kama vile matoleo mengi ya Samsung Note (mengi ya peni hiyo) au hata baadhi ya iPad zina peni spesheli.

Baada ya hapo uneweza mwenyewe kuanza kubadilisha rangi za mistari hiyo, ukubwa na kadhalika kulingana na wewe mwenyewe unavyotaka.

Moja Ya Mfano Wa Sahihi (Signature) Kutoka Google Drawing 3

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Moja ya mfano wa Sahihi (Signature) Kutoka Google Drawing

Ukipenda sahihi hiyo na kama unaona iko tayari unaweza ukaihifadhi kwa kuchaguaSave and Close’

Ukurasa huo utajifunga na sahihi hiyo itakuja moja kwa moja katika eneo la uwanjani katika google docs husika.

Sahihi Iliyotengenezwa Kwa Kutumia Google Drawing

Sahihi iliyotengenezwa kwa kutumia Google Drawing

Hapo unaweza sogeza sahihi hiyo katika eneo ambalo unataka ikae, mfano unaweza ukawa umeandika barua na kuisogeza pale kwa chini.

Mpaka hapo utakua umeshafanikisha jambo hili, furahia maujanja hayo sasa.

UNAWEZA PIA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *