Nijuze Habari App

Feisal atengewa dau nono

Filed in Usajili, Michezo by on 15/12/2022 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Feisal atengewa dau nono

Usajili Yanga, tetesi za Usajili Yanga SC, Tetesi za Usajili Young Africans, Usajili Young Africans, Feisal Salum Abdallah, Feisal Salum ‘fei toto’ Feisal Salum Yanga, Feisal Salum Azam FC, Feisal Salum Berkane, Tetesi za Usajili Azam FC, tetesi za Usajili Feisal Salum.

Feisal atengewa dau nono

Feisal atengewa dau nono

Klabu ya Yanga inajipanga kumuongezea mkataba kiungo wake mshambuliaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ ambaye amekuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi cha Yanga msimu huu akifunga mabao matano na kutoa pasi mbili za mabao (asisit).

Thamani ya Feisal inazidi kupanda, huku ofa zikiendelea kumiminika Jangwani kwaajili ya kuisaka saini ya Mzanzibar huyo.

Pamoja na kuwa bado ana mkataba zaidi ya mwaka mmoja pale Jangwani lakini mazungumzo yameanza ili kumuongezea mkataba ambao utaboresha maslahi yake mara dufu.

Aidha Klabu Azam FC inatajwa kuiwinda saini yake huku wakiweka ofa nono na mshahara mkubwa ambao ni zaidi ya Tsh Milioni 10 kwa mwezi.

Ofa nyingine inatajwa kutoka Klabu ya RS Berkane ya Morocco.

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesisitiza kuwa hawatamzuia Feisal kujiunga na timu nyingine kama watapokea ofa sahihi lakini wangependelea kuona anatoka nje ya mipaka ya Afrika.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *