Nijuze Habari App

FISTON MAYELE KUAGWA KWA MKAPA

Filed in Michezo, New, Usajili by on 22/07/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

FISTON MAYELE KUAGWA KWA MKAPA

FISTON MAYELE KUAGWA KWA MKAPA

FISTON MAYELE KUAGWA KWA MKAPA

FISTON MAYELE KUAGWA KWA MKAPA, Mshambuliaji raia wa DR Congo, Fiston Kalala Mayele anatarajiwa kuagwa leo Jumamosi ya Julai 22 kwenye kilele cha Siku ya Wananchi Jijini Dar es Salaam.

Mayele mwenye umri wa miaka 28 tayari ameuzwa kwenda Pyramids ya Misri kwa dau linalokadiriwa kufikia Bilioni 2.8

FISTON MAYELE KUAGWA KWA MKAPAKwenye Kilele Cha Wiki ya Mwananchi, Mayele anatarajiwa kumkabidhi Mrithi wake Jezi nambari 9 aliyokuwa akiivaa toka aliposajiliwa msimu wa 2021/2022 alitokea AS Vita Club.

Mayele amefikia hatua hiyo baada ya kuwa mmoja wa Wafungaji mabao mahiri Barani Afrika, Mayele amevivutia Vilabu vya Zamalek, Wydad Casablanca, Esperance de Tunis, na Raja Casablanca, lakini Pyramids imeshinda mbio hizo.

Pyramids inajaribu kuimarisha safu yao ya Ushambuliaji kwaajili ya kampeni yao ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao wa 2023/2024.

Kwa Yanga msimu uliopita, Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 29, alifunga mabao 32 katika michezo 38 ya michuano yote.

Fiston Kalala Mayele, anayejulikana pia kama Fiston Mayele, ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye anacheza mbele katika klabu ya Ligi Kuu ya Tanzania ya Young Africans na timu ya taifa ya DR Congo.

  • Jina kamili: Fiston Kalala Mayele
  •  Tarehe ya kuzaliwa: 28 Juni 1994 (umri wa miaka 29)
  • Alizaliwa Mbuji-Mayi, Zaire
  •  1.80 m (5 ft 11 in) urefu
  • Nafasi: Mshambuliaji.
Fiston Mayele

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 
Mayele with Young Africans in 2023
Personal information
Full name Fiston Kalala Mayele
Date of birth 28 June 1994 (age 29)
Place of birth Mbuji-Mayi, Zaire
Height 1.80 m (5 ft 11 in)
Position(s) Forward
Team information
Current team
Young Africans
Number 9
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
2019–2022 AS Vita Club 42 (26)
2022– Young Africans 24 (16)
International career
2021– DR Congo 5 (1)

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *