FULSA za Ufadhili wa Masomo nchini Japan 2024

Filed in Ajira by on 12/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

FULSA za Ufadhili wa Masomo nchini Japan 2024

FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO NCHINI JAPAN.

FULSA za Ufadhili wa Masomo nchini Japan 2024, ufadhili wa masomo 2022/2023,Ufadhili wa masomo ya biblia,Ufadhili wa masomo wizara ya afya,Ufadhili wa masomo ya afya ngazi ya diploma,Makampuni yanayotoa ufadhili wa masomo,Taasisi zinazotoa ufadhili wa masomo Tanzania.

FULSA za Ufadhili wa Masomo nchini Japan 2024

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuujulisha umma kuhusu uwepo wa fursa za ufadhili wa masomo zinazotolewa na Serikali ya Japan kupitia Wizara ya Elimu, Utamaduni, Michezo, Sayansi na Teknolojia (Ministry of Education, Culture, Sports, Science and Technology- MEXT) kwa mwaka wa masomo 2024.

Ufadhili huo ni kwa masomo katika ngazi ya Shahada ya Kwanza (Undergraduate Studies), Umahiri (Master’s Degree), Uzamivu (PhD.) pamoja na mafunzo yaufundi (Specialized Training College).

Taarifa zaidi kuhusu fursa za ufadhili huo ikiwemo sifa na taratibu za uombaji zinapatikana kupitia tovuti ya Ubalozi wa Japan nchini Tanzania https://www.tz.emb-japan.go.jp/itpr_en/mext2024.html

Aidha maombi yote yapitie Ubalozi wa Japan nchini Tanzania kabla ya tarehe 5 Juni 2023 saa 10.30 jioni.

Aidha Wizara inatoa wito kwa Watanzania wenye sifa na vigezo stahiki
kuchangamkia fursa hizo.

FULSA za Ufadhili wa Masomo nchini Japan 2024, ufadhili wa masomo 2022/2023,Ufadhili wa masomo ya biblia, Ufadhili wa masomo wizara ya afya, Ufadhili wa masomo ya afya ngazi ya diploma,Makampuni yanayotoa ufadhili wa masomo,Taasisi zinazotoa ufadhili wa masomo Tanzania,Tangazo Fursa Za Masomo Japan.

FULSA za Ufadhili wa Masomo nchini Japan 2024, ufadhili wa masomo 2022/2023,Ufadhili wa masomo ya biblia,Ufadhili wa masomo wizara ya afya,Ufadhili wa masomo ya afya ngazi ya diploma,Makampuni yanayotoa ufadhili wa masomo,Taasisi zinazotoa ufadhili wa masomo Tanzania.We are happy to inform you that the Ministry of Education, Culture, Sports, Science and Technology (MEXT) of Japan, offers scholarships to international students who wish to study in Japan under the Japanese Government (MEXT) Scholarship Program. This year, Tanzanians have an opportunity to apply for undergraduate programs.

All applications must be submitted to the Embassy of Japan in Tanzania (Dar es Salaam) no later than 4:30 pm on Monday 5th June 2023.

For more information please visit the website of the Japanese Embassy in Tanzania: https://www.tz.emb-japan.go.jp/itpr_en/mext2024.html

You can also download application forms from the following websites:
Research students (Masters and Ph.D.): https://www.studyinjapan.go.jp/en/smap-stopj-applications-research.html
Undergraduate students: https://www.studyinjapan.go.jp/en/smap-stopj-applications-undergraduate.html
Specialized Training College Students: https://www.studyinjapan.go.jp/en/smap-stopj-applications-specialized.html

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *