GERRARD aondoka Aston Villa

Filed in Michezo by on 21/10/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

GERRARD aondoka Aston Villa

GERRARD aondoka Aston Villa

GERRARD aondoka Aston Villa

KLABU ya Aston Villa inayoshiki Ligi kuu ya England (Premier League) imetangaza rasmi kuwa Kocha wake Mkuu Steven Gerrard ameacha kazi baada ya kupokea kichapo cha mabao 3-0 kutoka Fulham, mchezo uliofanyika usiku wa Alhamisi ya October 20, 2022.

Nahodha huyo wa zamani wa wa Liverpool na Uingereza mwenye umri wa miaka 42 amefukuzwa kazi miezi 11 na siku 10 baada ya kurithi mikoba ya Dean Smith huko Villa Park.

Aston Villa wanamkuzia kocha wa zamani wa Tottenham Mauricio Pochettino.

Gerrard ameondoka wakati Aston Villa ikiwa nafasi ya 17 katika Msimamo wa Ligi Kuu England wenye timu 20 ikiwa na pointi 9 tu kutokana na michezo 11, ikishinda michezo miwili, sare 3 na kupoteza 6.

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *