Nijuze Habari App

HABARI MPYA KUTOKA YANGA LEO JUMAMOSI JULAI 22-2023

Filed in Michezo, New by on 22/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


 

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

HABARI MPYA KUTOKA YANGA LEO JUMAMOSI JULAI 22-2023

HABARI MPYA KUTOKA YANGA LEO JUMAMOSI JULAI 22-2023,Yanga leo 2023,Yanga news today,Habari za yanga za leo, Habari mpya kutoka Yanga leo Julai 2023,Michezo YANGA, Habari njema kutoka Young Africans

HABARI MPYA KUTOKA YANGA LEO JUMAMOSI JULAI 22-2023

HABARI MPYA KUTOKA YANGA LEO JUMAMOSI JULAI 22-2023,Yanga leo 2023,Yanga news today,Habari za yanga za leo, Habari mpya kutoka Yanga leo Julai 2023,Michezo YANGA, Habari njema kutoka Young Africans.

Uongozi wa Young Africans SC, umeipongeza Kampuni ya AZAM MEDIA kwa kukubali ombi la kuwapa Kampuni ya DSTV haki za kuonyesha mchezo wa Kilele cha Wiki ya Wananchi kati ya Yanga dhidi ya Kaizer Chiefs.

HABARI MPYA KUTOKA YANGA LEO JULAI 22-2023,Yanga leo 2023,Yanga news today,Habari za yanga za leo, Habari mpya kutoka Yanga leo Julai 2023,Michezo YANGA, Habari njema kutoka Young Africans, Habari mpya kutoka Azam TV Leo, Habari mpya kutoka DSTV Leo, Habari njema kutoka Young Africans, Habari njema kutoka Kaizer Chiefs FC.Ombi hilo ni sehemu ya makubaliano ya Uongozi wa Young Africans Sports Club na Kaizer Chiefs, hivyo, Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuujulisha Umma kuwa mchezo huu wa Kimataifa wa Kirafiki kati ya Young Africans dhidi ya Kaizer Chiefs, utaonekana kupitia kingamuzi cha DSTV ndani ya mipaka ya nchini ya Afrika Kusini tu.

HABARI MPYA KUTOKA YANGA LEO JUMAMOSI JULAI 22-2023

Na kwa Tanzania na sehemu nyingine Duniani mchezo huu wa Yanga dhidi ya Kaizer Chiefs utaonekana kupitia AZAM TV.

Vile vile, Uongozi wa Young Africans SC unapenda kuwakumbusha Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Klabu yetu kulipia mapema Kingamuzi cha AZAM TV ili kupata burudani hii ya Kilele cha Wiki ya Wananchi kwa ubora mkubwa ukiwa sebuleni kwako.

HABARI MPYA KUTOKA YANGA LEO JUMAMOSI JULAI 22-2023,Yanga leo 2023,Yanga news today,Habari za yanga za leo, Habari mpya kutoka Yanga leo Julai 2023,Michezo YANGA, Habari njema kutoka Young Africans, Habari mpya kutoka Azam TV Leo, Habari mpya kutoka DSTV Leo, Habari njema kutoka Young Africans, Habari njema kutoka Kaizer Chiefs FC.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *