Nijuze Habari

Habib Kyombo atua Singida Big Stars FC

Filed in Usajili by on 21/06/2022 0 Comments

Habib Kyombo Singida Big Stars FCMshambuliaji Habib Kyombo amekua mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Singida Big Stars itakayoshiriki kwa mara ya kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao wa 2022/2023.

Nijuze Habari Application

HABIB Kyombo atua Singida Big Stars

Habib Kyombo Singida Big Stars FCMshambuliaji Habib Kyombo amekua mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Singida Big Stars itakayoshiriki kwa mara ya kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao wa 2022/2023.

Kyombo anayemalizia mkataba wake na Mbeya Kwanza FC amekamilisha dili hilo leo Jumanne ya June 21,2022 na kuthibitishwa kupitia katika Kurasa za Mitandao ya Kijamii za Singida Big Stars.

Habib Kyombo Singida Big Stars FCMchezaji huyo wa zamani wa Mbao FC ya Mwanza ambaye alibahatika kusajiliwa Mamelodi Sondowns ya Afrika Kusini, hivi karibuni alihusishwa kujiunga na Klabu ya Simba SC, hivyo kusajiliwa Singida Bid Stars kunasitisha tetesi hizo.

UNAWEZA PIA KUSOMA PIA👇

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.