Hafiz Konkoni mrithi wa Fiston Mayele Yanga
SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
Hafiz Konkoni mrithi wa Fiston Mayele Yanga
Hafiz Konkoni mrithi wa Fiston Mayele Yanga, Klabu ya Young Africans imetangaza kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji, Hafiz Konkoni raia wa Ghana kwa mkataba wa miaka miwili.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 23 kutoka timu ya Bechem United FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Ghana ndiye mrithi wa Fiston Kalala Mayele aliyeuzwa Pyramids FC ya Misri.
Hafiz Konkoni ametambulishwa rasmi tayari kujiunga na wenzake kambini Avic Town kwaajili ya maandalizi ya mechi za Ngao ya Jamii na michuano mingine iliyoko mbele.

Hafiz Konkoni kumrithi Mayele Yanga
Hafiz kabla ya kujiunga na Bechem ya Ghana aliwahi kucheza soka la kulipwa Katika Vilabu vya Alsancak Ye ilova na Baf Ülkü Yurdu za Kaskazini mwa Cyprus pia amewahi kuitwa mara moja kwenye timu ya taifa ya Ghana.
Hafiz Konkoni atambulishwa Young Africans, Hafiz Konkoni Yanga SC, Hafiz Konkoni Yanga, Hafiz Konkoni atua Yanga sc, Hafiz Konkoni Yanga SC, Hafiz Konkoni Young Africans.
Konkoni ni mzaliwa wa Mkoa wa Juu Magharibi mwa Ghana, alihamia Mkoa wa Kaskazini na kusomea Elimu ya sekondari huko Bole, kabla ya kurejea katika mkoa wake wa asili kujiandikisha katika Chuo cha Elimu cha Tumu, ambacho awali kilikuwa Chuo cha Mafunzo ya Ualimu cha Tumu.
Katika mechi 24 alizoichezea Bechem United FC msimu ulioisha wa 2022/2023, Hafiz Wontah Konkoni amefanikiwa kufunga jumla ya mabao 15.

Hafiz Konkoni kumrithi Mayele Yanga
Hafiz Konkoni anakuwa Mchezaji mpya wa nane (8) wa Yanga SC kuelekea msimu mpya wa 2023/2024, baada ya usajili wa Kiungo Mshambuliaji, Peodoh Pacôme Zouzoua kutoka ASEC Mimosas ya kwao Ivory Coast.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Wengine ni winga, Mahlatse Makudubela Skudu kutoka Malumo Gallant ya kwao Afrika Kusini, beki wa Kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka ASEC Mimosas ya kwao Ivory Coast.
Wengine ni Kiungo Mshambuliaji, Maxi Mpia Nzengeli kutoka AS Maniema Union ya kwao DR Congo na Kiungo Mkabaji Jonas Mkude kutoka Simba SC.
Wengine ni beki, Gift Fred Giggy kutoka SC Villa ya kwao Uganda na kiungo Mshambuliaji, Nickson Clement Kibabage kutoka Singida Fountain Gate FC ya Singida.
Hafiz Konkoni Mchezaji mpya wa Young Africans, Yanga yamsajili Hafiz Konkoni, Yanga yamsajili Hafiz Wontah Konkoni, Hafiz Konkoni Yanga SC, Hafiz Wontah Konkoni Young Africans Hafiz Wontah Konkoni ni Mwananchi.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Hafiz Konkoni atambulishwa Young Africans, Hafiz Konkoni atua Yanga sc, Hafiz Konkoni kumrithi Mayele Yanga, Hafiz Konkoni Mchezaji mpya wa Young Africans, Hafiz Konkoni mrithi wa Fiston Mayele Yanga, Hafiz Konkoni Yanga, Hafiz Konkoni Yanga SC, Hafiz Konkoni Young Africans, Hafiz Wontah Konkoni Young Africans Hafiz Wontah Konkoni ni Mwananchi., Yanga yamsajili Hafiz Konkoni, Yanga yamsajili Hafiz Wontah Konkoni