telegram Nijuze Habari

HASHIM Ibwe atua Azam FC

Filed in Michezo, Usajili by on 18/10/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

HASHIM Ibwe atua Azam FC

HASHIM Ibwe atua Azam FC

HASHIM Ibwe atua Azam FC

Klabu ya Azam FC imemtangaza aliyekuwa Mtangazaji wa Azam TV, Hasheem Ibwe kuwa kaimu Afisa habari wake kuanzia Leo Jumanne October 18, 2022.

MFAHAMU Hashim Ibwe Afisa Habari Mpya wa Azam FC

Klabu hiyo yenye Makazi yake Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam imesema kuwa Hasheem Ibwe atakuwa Kaimu katika nafasi hiyo hadi itakapotangazwa vinginevyo.

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *