Nijuze Habari App

Hussein Kazi atambulishwa Simba SC

Filed in Michezo, New, Usajili by on 20/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Hussein Kazi atambulishwa Simba SC

Hussein Kazi atambulishwa Simba SC, Hussein Kazi Simba SC,Hussein Kazi Simba SC,Hussein Kazi Simba, Hussein Kazi Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Hussein Kazi, Hussein Kazi ni mnyama, Hussein Kazi Mchezaji mpya Simba SC,Hussein Kazi Simba Sports Club Tanzania.

Hussein Kazi atambulishwa Simba SC

Hussein Kazi atambulishwa Simba SC, Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili beki wa kati Hussein Kazi kutoka Geita Gold FC kwa mkataba wa miaka miwili.

Hussein mwenye umri wa miaka 23 amecheza soka la kulipwa nchini Shelisheli katika klabu ya Forester FC kabla ya kurejea Tanzania kujiunga na Mbeya Kwanza, Polisi Tanzania na Geita Gold FC.

Katika eneo la mlinzi wa kati, Hussein anaungana na wazoefu Henock Inonga, Kennedy Juma na Che Fondoh Malone.

Hussein Kazi atambulishwa Simba SC, Hussein Kazi Simba SC,Hussein Kazi Simba SC,Hussein Kazi Simba, Hussein Kazi Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Hussein Kazi, Hussein Kazi ni mnyama, Hussein Kazi Mchezaji mpya Simba SC,Hussein Kazi Simba Sports Club Tanzania.Hussein Kazi anakuwa Mchezaji mpya wa nane kusajiliwa na Simba kuelekea msimu mpya wa 2023/2024, baada ya kiungo mkabaji, Abdallah Hamis kutoka Orapa United ya Botswana, Mshambuliaji Shaban Chilunda kutoka Azam FC.

Wengine ni Kiungo Farbice Luamba Ngoma kutoka Al Hilal ya Sudan na beki Che Fondoh Malone Junior kutoka Cotton Sport ya Cameroon.

Wengine ni Beki wa Kulia David Kameta aliyerejeshwa kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro alipokuwa kwa mkopo, kiungo Mshambuliaji, Aubin Kramo Kouamé kutoka ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Mshambuliaji, Leandre Essomba Willy Onana kutoka Rayon Sport ya Rwanda.

Hussein Kazi atambulishwa Simba SC, Hussein Kazi Simba SC,Hussein Kazi Simba SC,Hussein Kazi Simba, Hussein Kazi Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Hussein Kazi, Hussein Kazi ni mnyama, Hussein Kazi Mchezaji mpya Simba SC,Hussein Kazi Simba Sports Club Tanzania.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *