Nijuze Habari App

INTERVIEW Questions Utumishi Maswali Ya usaili Ajiraportal

Filed in Makala by on 16/05/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


 

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

INTERVIEW Questions Utumishi Maswali Ya usaili Ajiraportal

PATA MAJIBU YA BAADHI YA MASWALI AMBAYO YAMEKUWA YAKIULIZWA NA WADAU WA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA KUPITIA NJIA MBALIMBALI ZA MAWASILIANO WAKITAKA KUPATIWA UFAFANUZI, AIDHA, TUTAENDELEA KUTOA MAJIBU KILA MARA KWA MASWALI TOFAUTI KADRI YALIVYOTUFIKIA.JINSI ya Kujibu Maswali Yanayoulizwa kwenye Usaili

INTERVIEW Questions Utumishi Maswali Ya usaili Ajiraportal,Maswali ya interview PDF,Maswali ya written interview utumishi Nijuze Habari,Maswali ya usaili wa mchujo utumishi,Maswali ya written interview TRA,MASWALI ya interview NA MAJIBU yake,Interview Questions Utumishi Maswali Ya usaili Ajiraportal,Maswali ya interview PDF,MASWALI YA interview Utumishi Leo,MASWALI YA interview Ajiraportal Tanzania, Ajiraportal Maswali Yanayoulizwa,Tanzania Portal - Interview Questions Utumishi Maswali Ya Interview.

INTERVIEW Questions Utumishi Maswali Ya usaili Ajiraportal

1. Je, ni mambo gani napaswa kuzingatia wakati wa kuandaa wa Wasifu
binafsi (CV)?

 • Juu Kabisa Mhusika ataje majina yote rasmi anayotumia kwa herufi kubwa kama yalivyo kwenye vyeti au viapo kama vipo.
 • Maelezo yake kwa kifupi
  Matarajio yake na ofisi anayoombea kazi itegemee nini toka kwake.
 • Historia yake ikiwemo;-
 • Miaka yake
 • Jinsia yake
 • Hali ya ndoa
 • Uraia
 • Historia ya Elimu
  Aeleze elimu aliyonayo kuanzia kiwango kikubwa cha Elimu alichonacho hadi cha mwisho cha chini alichoanzia ikiwemo, Vyuo alivyosoma na mwaka aliohitimu na vyeti alivyotunukiwa kwa mfano:
 • Masters of Science in Human Resource Management – Mzumbe University 2015,
 • Bachelor Degree in Law (LLB) – University of Dar es Salaam (UDSM) 2012,
 • Advanced Certificate of Secondary Education Newala Secondary School 2003,
 • Certificate of Secondary Education Zanaki Secondary School 2000.
 • Historia ya Uzoefu wa kazi alionao
  Uchambuzi huo uanzie nafasi aliyonayo na kazi ya sasa hadi aliyoanzia kushika ikionyesha Mwajiri, Kipindi/Muda na Majukumu aliyokuwa akiyatekeleza.
 • Wadhamini na anwani zao
  Majina ya wadhamini wasiopungua watatu yatajwe yakiwa na anuani kamili za barua, barua pepe, simu za mikononi na ofisi wanazofanyia kazi ili kurahisisha mawasiliano nao pindi itakapohitajika kufanya hivyo, inashauriwa wawe watu wake wa karibu wanaoweza kutoa taarifa sahihi juu yake.
 • Kiapo/Tamko Saini na Tarehe
  Mhusika aandike maneno ya kuthibitisha taarifa alizotoa ni sahihi na za kweli aweke saini yake na tarehe ya kuwasilisha wasifu wake na atawajibika nazo endapo atakuwa amepotosha.TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024

2. Masuala yapi napaswa kuzingatia katika kuandika barua ya maombi ya kazi?

 • Anuani ya Mwombaji
  Sanduku la Posta
 • Mkoa/Wilaya aliyopo
 • Tarehe
 • Barua pepe
 • Namba ya simu
 • Anuani ya anayetangaza nafasi ya kazi
 • Anuani ya Mwajiri (K.k……)
  Kwa wale ambao barua zao inabidi kupitishwa na mwajiri lazima barua igongwe mhuri wa ofisi au wa aliyepitisha barua ikionyesha na tarehe iliyopitishwa.
 • (Mfano: Katibu Mkuu, Katibu, Mkurugenzi Mkuu nk).
 • Kichwa cha habari cha barua
  Lazima kieleze wazi nafasi inayoombwa ikiwezekana ibainishwe pia na Taasisi inayohusika ili kuweza
  kuzitofautisha.
 • Madhumuni ya barua
 • Mwombaji aeleze Elimu aliyonayo akianzia na elimu ya juu aliyonayo na chuo alichomaliza/vyuo alivyomaliza
 • Umri wake
 • Kwa nini anaomba nafasi na uzoefu wake kwa ufupi sana
  Hitimisho
 • Matarajio yake (kwa kifupi)
 • Jina
 • Kuhakikisha umeweka saini

3. Je, naweza kufahamu wajibu na vigezo ninavyopaswa kuvizingatia kama mwombaji wa nafasi za ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (masharti ya jumla).

 • Kuhakikisha nafasi anayoomba imetangazwa na Sekretarieti ya Ajira ili kuthibitisha hilo mhusika ajiridhishe kwa kutembelea tovuti ya Sekretarieti ambayo ni www.ajira.go.tz ya Ajira
 • Mwombaji wa nafasi ya kazi awe ni Raia wa Tanzania.
 • Mwombaji wa nafasi ya kazi aambatishe cheti cha kuzaliwa.
 • Mwombaji wa nafasi ya kazi ambae tayari ni Mtumishi wa Umma na amejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na alizonazo anatakiwa apitishe barua za maombi ya nafasi za kazi kwa Mwajiri wake na Mwajiri ajiridhishe ipasavyo.
 • Mwombaji wa nafasi ya kazi anapaswa kuandika nafasi ya kazi anayoiomba na iandikwe katika kichwa cha habari cha barua.
 • Mwombaji wa nafasi ya kazi anatakiwa kuweka anwani na namba za simu zinazopatikana pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika
 • Vyeti vya kuhitimu mafunzo ya Vyuo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
 • www.ajira.go.tz ataona sehemu imeandikwa (Recruitment Portal) ataingia hapo kwa kufuata maelekezo hatua kwa hatua.
 • Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE) kabla ya kuviwasilisha Sekretarieti ya Ajira.

4. Je, Mwombaji wa nafasi ya kazi anatakiwa kutekeleza vitu gani kabla ya kuwasilisha maombi ya kazi kwenye Mfumo wa Sekretarieti ya Ajira?

 • Mwombaji awe ameona tangazo la nafasi ya kazi na kulisoma, kulielewa kabla ya kuwasilisha maombi ya kazi.
 • Mwombaji anatakiwa kuainisha nafasi anayoomba katika barua yake ya maombi ya kazi.
 • Mwombaji awe amejisajili kwenye mfumo wa maombi ya kazi (recruitment portal) http://portal.ajira.go.tz
 • Mwombaji anapaswa kuambatisha nyaraka zake muhimu kulingana na tangazo la nafasi ya kazi.
 • Mwombaji kazi kuhakikisha ameingiza cheti cha kuzaliwa na vyeti vyake vya Elimu kwa ngazi mbalimbali ambavyo vimehakikiwa na kupigwa muhuri na Mwanasheria kulingana na tangazo la nafasi za kazi linavyomtaka.
 • Mwombaji kazi ambae amesoma ngazi ya cheti (Astashahada), pia ana cheti cha diploma (Stashahada) na pia ana cheti Stashahada ya juu ambayo ni (Advanced Diploma) au cheti cha (Shahada yaani Degree ya kwanza) ajue yeye anaruhusiwa kuomba kazi ya Degree tu itakapotangazwa kulingana na fani yake. Akiomba kazi ya Astashahada, au Stashahada mfumo utamkatalia, kwakuwa kazi hizo ni kwaajili ya wale ambao elimu waliyonayo kwa wakati husika ni ngazi hiyo tu na si
  vinginevyo.
 • Baada ya kukamilisha kujaza taarifa zako katika mfumo wa maombi unapaswa kupakia nyaraka stahiki zilizoainishwa baada ya hapo mfumo utakujulisha papo hapo kupokelewa au kukwama kwa maombi yako.

Aidha, endapo mstahiliwa ana changamoto ya kitaalamu yaani inayohusiana na mfumo anaweza kuwasiliana nasi kupitia namba 0735-398259 na endapo ni suala la malalamiko anatakiwa kuwasiliana nasi kwa namba 0736-005511.Maswali ya Interview katika Ajira za Watendaji wa Vijiji

INTERVIEW Questions Utumishi Maswali Ya usaili Ajiraportal,Maswali ya interview PDF,Maswali ya written interview utumishi Nijuze Habari,Maswali ya usaili wa mchujo utumishi,Maswali ya written interview TRA,MASWALI ya interview NA MAJIBU yake,Interview Questions Utumishi Maswali Ya usaili Ajiraportal,Maswali ya interview PDF,MASWALI YA interview Utumishi Leo,MASWALI YA interview Ajiraportal Tanzania, Ajiraportal Maswali Yanayoulizwa,Tanzania Portal - Interview Questions Utumishi Maswali Ya Interview.

INTERVIEW Questions Utumishi Maswali Ya usaili Ajiraportal

Interview Questions Utumishi Maswali Ya usaili Ajiraportal

FAHAMU Jinsi ya kupata namba ya NIDA (NIN)

Interview Questions Utumishi Maswali Ya usaili Ajiraportal,Most Asked Questions And Answers Utumishi Ajira Portal,List of Most Asked Interview Questions in Tanzania,How to Win Ajira Portal Utumishi Interviews, maswali ya written interview utumishi,Maswali ya usaili Utumishi.

How to Handle 10 Job interview situations

Job interviewing can be an unnerving experience, but if you know how to handle some of the stickiest situations encountered in interviewing, you can be that much more confident. Here are 10 of the stickiest.

1. The Bad Interviewer. Not every professional who conducts job interviews with candidates knows how to conduct an interview effectively. In fact some are downright lousy at it. A bad interviewer might be unfocused, disinterested, unprepared. He or she might dominate the interview by doing all the talking or might ask inappropriate and illegal questions.

The unfocused, unprepared interviewer probably hasn’t read your resume and maybe can’t even find a copy. This hapless soul doesn’t even know what to ask you. Be sure to offer this disorganized interviewer a copy of your resume while asking, “May I take you through some highlights of my career?”

While the bigmouth interviewer is holding forth, make as many mental notes as you can (or jot them down if you’ve brought a small notepad). Don’t show your exasperation; instead be an attentive listener and hang on the interviewer’s every word.

2. “Tell Me about Yourself” Question. Of course, this question is not a question at all but a request for a command performance. It’s the most commonly asked interview question, yet it frequently still rattles interviewees.

The trick is to make your response a succinct summary of information that is specifically targeted to the job you’re interviewing for. (Sell yourself!) For example:

“My background to date has been centered around preparing myself to become the very best financial consultant I can become. Let me tell you specifically how I’ve prepared myself. I am an undergraduate student in finance and accounting at ___________ University.

My past experience has been in retail and higher education. Both aspects have prepared me well for this career.”
The interviewer is not looking for your autobiography and probably is not interested in your personal life unless aspects of it are relevant to the job you’re interviewing for.

3. The “Weakness” Question. The conventional wisdom about responding to “What are your weaknesses?” used to be that the candidate should spin a weakness into strength. For example: “I’m a perfectionist and don’t believe anyone can do the job as well as I can, so I sometimes have a hard time delegating.” That type of response has, however, worn out its welcome with interviewers. Other approaches include offering a weakness that is inconsequential to the job (such as being a poor speller and relying on spellcheck) or denying that you have any weaknesses that would stand in the way of your performing the job effectively. The former approach may work but be seen as shallow, while the latter sometimes lacks credibility. After all, everyone has a weakness.An approach that seems to work well is to talk about an area that was once a weakness but that you have worked to improve. Here’s how you could frame the perfectionist example above in terms of professional growth: “I tend to be a perfectionist who has had trouble delegating tasks to others, but I’ve come to see that teamwork and capitalizing on everyone’s strengths is a much more effective way to get the job done than trying to do it all myself.”

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

4. The “Why should we hire you?” Question. The unspoken part of this question is: “Why should we hire you [above all the other candidates]?” This is your chance to shine, to really make a sales pitch for yourself. Use your Unique Selling Proposition to describe what sets you apart from other candidates. The employer will make a significant investment in hiring and training you, so tell the interviewer that this investment will be justified. For example, you could say: “I sincerely believe that I’m the best person for the job. Like other candidates, I have the ability to do this job. But beyond that ability, I offer an additional quality that makes me the very best person for the job — my drive for excellence. Not just giving lip service to excellence, but putting every part of myself into achieving it. Throughout my career, I have consistently strived to become the very best I can become. The success I’ve attained in my management positions is the result of possessing the qualities you’re looking for in an employee.”

5. “Off-the-wall” Questions, also known as “Wild Card” or “No-Right-Answer” Questions. Occasionally you’ll be asked an interview question that’s just downright weird and certainly doesn’t seem to have anything to do with the job — for example, a question like this: “If you were an ice-cream cone, what flavor would you be?” Interviewers often ask these oddball questions to see how quickly you can think on your feet and whether you can avoid becoming flustered. Others, unfortunately, ask them because they enjoy seeing interviewees squirm. Still others are amused by the range of creative — and not-so-creative — responses they receive. Don’t let an off-the-wall question rattle you. Take a moment to gather your thoughts and respond the best way you can. There is rarely a wrong answer to this type of question, but quick-thinking candidates can turn the response into an opportunity to impress the employer. A response given by one of my former students has always stuck in my head as being a standout answer. The question was: “If you were a superhero, what would be your super powers, and why?” His response: “I think I would prefer to be a superhero like Batman, who doesn’t have superpowers per se, but who relies on his intelligence and use of the right tools to get the job done.”

6. Illegal Questions: It’s illegal to ask about age, marital status, children, childcare arrangements, and the like, but employers still do — or come up with subtle ways to ask, such as by inquiring about when you graduated from high school/college. It’s best to address the concern behind the question rather than the question itself by saying something like: “There is nothing about my personal status that would get in the way of my doing a great job for your company.” While it may also be tempting to point out the illegality of the question, doing so likely won’t endear you to the interviewer.

7. Salary Questions: As a screening device, interviewers often ask early in the interview what salary you are looking for. If you ask for more than the employer is willing to pay (or occasionally, on the flip side, undervalue yourself), the interviewer can eliminate you before spending a lot of time with you. That’s why the best tactic for salary questions is to delay responding to them as long as possible — ideally until after the employer makes an offer. Try to deflect salary questions with a response like this: “I applied for this position because I am very interested in the job and your company, and I know I can make an immediate impact once on the job, but I’d like to table salary discussions until we are both sure I’m right for the job.” Read more in our Salary Negotiation and Job Offer Tutorial.

8. Questions about Being Terminated from a Previous Job. It’s always uncomfortable to be asked your reasons for leaving a job from which you were terminated. Don’t lie about it, but don’t dwell on it either. You could explain that you and the company were not a good fit, hence your performance suffered. Or that you and your supervisor had differing viewpoints. Emphasize what you learned from the experience that will prevent you from repeating it and ensure that you will perform well in the future.

9. Questions about Reasons for Leaving a Current Job. This question is similar to the previous question, even if you haven’t been fired. Responses about fit with the company and differing views from your supervisor can also work here, but remember never to trash a current employer. Always speak positively about past and present employers even if your experience has not been positive with them. Another good response in this situation is to say that you determined you had grown as much as you could in that job and you are ready for new challenges.


10. Questions about the Future. Interviewees are often asked, “Where do you see yourself in five (or 10) years to come?” Strike a delicate balance when responding to this kind of question, with just the right mix of honesty, ambition, and your desire to be working at this company long-term.Avoid response such as starting your own business or running for Congress, which suggest that you don’t plan to stay with the company.
It’s not totally inappropriate to mention the personal (marriage, family), but focus mainly on professional goals. Mention your career and company goals first, and tack on any mention of marriage and family at the end.
Your response could be: “I’m here to let you know that I am the best person for the job. If in the future you feel I would be a candidate for a higher level position, I know I wouldn’t be passed up.”
OR: “I hope to stay at the company and expect that in five years, I’ll make a significant advance in the organization.”
OR: “I would like to become the very best ______________ your company has.”

How to prepare for an Interview

Be on Time (Punctuality)Be on time for the interview. At least half an hour before and take some time to drive to the interview location ahead of time so you know exactly where you are going and how long it will take to get there. This will help you to get some time to for more preparing for an interview.

Original Academic certificates are Important.

All applicant s are supposed to come with their original academic certificates once they have called for an Interview. Example Phd, Masters, Degree, Advance Diploma, Diploma, Certificate Level, ACSEE, CSEE and Other Certificates from Professionals bodies.

Stay Calm

During the job interview try to relax and stay as calm possible. Take a moment to regroup. Maintain eye contact with the interviewer. Listen to the entire question before you answer and pay attention – you will be embarrassed if you forget the question!

Show What You Know

Try to relate what you know about the company or institution when answering questions. When discussing your career accomplishments match them to what the company/institution is looking for. Here’s how to make a match between your expertise and the company’s requirements

Do your research

Fail to plan, and you plan to fail. You are certain to be asked specific questions about the institution, so make sure you’ve done your homework on things like their last year’s profits and latest product launches. Also take a look at the latest developments in the industry so you can converse with confidence.

Practice your answers

Although there is no set format that every job interview will follow, there are some questions that you can almost guarantee will crop up.

You should prepare answers to some of the most common interview questions about your personal strengths and weaknesses, historical, educational and professional background as well as being able to explain why you would be the best person for the job.

Avoid Interview Mistakes

What shouldn’t you do when interviewing? Check out the most common job interview mistakes, blunders, and errors a candidate for employment can make. Then take the time to prepare before your interview, so you don’t have to stress afterwards.

Practice Interviewing

Taking the time to review typical interview questions you will probably be asked during a job interview will help give you a framework for your responses and will help calm your frazzled nerves, because you won’t be scrambling for an answer while you are in the interview hot seat. Practice interviewing with a friend or family member ahead of time and it will be much easier when you’re actually in a job interview.

Prepare for a Phone Interview

While you are actively job searching, it’s important to be prepared for a phone interview on a moment’s notice. You never know when a recruiter or a networking contact might call and ask if you have a few minutes to talk. Review these tips for advice on how to pull off your phone interview without delay.

Interview Attire

Here is information on how to dress for an interview including advice on what and what not to wear on a job interview, appropriate interview attire, how to impress a prospective employer or interview panel member.

The first impression you make on a potential employer is the most important one. The first judgement an interviewer makes is going to be based on how you look and what you are wearing. That’s why it is always important to dress appropriately for a job interview.

INTERVIEW Questions Utumishi Maswali Ya usaili Ajiraportal,Maswali ya interview PDF,Maswali ya written interview utumishi Nijuze Habari, Maswali ya usaili wa mchujo utumishi, Maswali ya written interview TRA, MASWALI ya interview NA MAJIBU yake,Interview Questions Utumishi Maswali Ya usaili Ajiraportal,Maswali ya interview PDF,MASWALI YA interview Utumishi Leo,MASWALI YA interview Ajiraportal Tanzania, Ajiraportal Maswali Yanayoulizwa,Tanzania Portal – Interview Questions Utumishi Maswali Ya Interview.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *