Nijuze Habari App

JEZI ZA SIMBA ZENYE MAJINA YA VIONGOZI ZATAMBULISHWA MLIMA KILIMANJARO

Filed in Michezo, New by on 22/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


 

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

JEZI ZA SIMBA ZENYE MAJINA YA VIONGOZI ZATAMBULISHWA MLIMA KILIMANJARO

JEZI ZA SIMBA ZENYE MAJINA YA VIONGOZI ZATAMBULISHWA MLIMA KILIMANJARO, Jezi Mpya za Simba SC 2023/2024, Jezi mpya za Simba 2023/2024,Uzi Mpya wa Simba SC 2023/2024, hizi hapa Jezi Mpya Za Simba 2023/24, New Simba Kits 2023/2024, Jezi Mpya za Simba SC 2023/24.

JEZI ZA SIMBA ZENYE MAJINA YA VIONGOZI ZATAMBULISHWA MLIMA KILIMANJARO

JEZI ZA SIMBA ZENYE MAJINA YA VIONGOZI ZATAMBULISHWA MLIMA KILIMANJARO, Jezi Mpya za Simba SC 2023/2024, Jezi mpya za Simba 2023/2024,Uzi Mpya wa Simba SC 2023/2024, hizi hapa Jezi Mpya Za Simba 2023/24, New Simba Kits 2023/2024, Jezi Mpya za Simba SC 2023/24.

Klabu ya Simba imezindua jezi zake za msimu wa 2023/2024 kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro zikiwa na majina ya viongozi wa Serikali ya Tanzania na ile ya Mapinduzi ya Zanzibar, ikiwa ni kuthamini mchango wao.JEZI ZA SIMBA ZENYE MAJINA YA VIONGOZI ZATAMBULISHWA MLIMA KILIMANJARO, Jezi Mpya za Simba SC 2023/2024, Jezi mpya za Simba 2023/2024,Uzi Mpya wa Simba SC 2023/2024, hizi hapa Jezi Mpya Za Simba 2023/24, New Simba Kits 2023/2024, Jezi Mpya za Simba SC 2023/24.

Moja ya viongozi majina yao yaliyopo kwenye jezi ni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Ra wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, Makamu wa Rais, Philip Mipango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Tulia Ackson.

Jezi yenye rangi nyekundu ikiwa ndio pekee yake iliyopelekwa Kilimanjaro ikiwa na jina la Mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohamed Dewji ‘Mo’.

Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo, Imani Kajula amesema kuwa baada ya jezi hizo kushuka kutoka kilele cha Mlima Kilimanjaro zitapigwa mnada na pesa zitakazopatikana zitajenga Wodi ya wazazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na Hospitali ya Taifa Zanzibar.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Kajula amesema kuwa kile Kibegi kilichotumika kubebeza jezi hizo kitapelekwa Makumbusho ya Taifa kwaajili ya kumbukumbu kwa vizazi vijavyo kutokana na umaarufu kilichojizolea.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *