LIVE MBEYA CITY VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 10:00 Jioni.

LIVE SIMBA VS POLISI TANZANIA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 1:00 Usiku. 

JINSI Jinsi ya Kupata Kitambulisho cha NIDA Kilichopotea

Filed in Habari, Makala by on 03/04/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

JINSI Jinsi ya Kupata Kitambulisho cha NIDA Kilichopotea

JINSI Jinsi ya Kupata Kitambulisho cha NIDA,

FAHAMU Jinsi ya kupata namba ya NIDA (NIN), Download Your NIDA Number and Copy Online  Download Your National ID (NIDA), Download NIDA number Copy Online | National ID – Kitambulisho cha Taifa Nida Number,NIDA Online ID Copy, Namba ya NIDA, Download Your NIDA number | Copy Online, National ID (NIDA) – Kitambulisho cha Taifa, NIDA number online, NIDA Tanzania Download, NIDA form, NIDA Tanzania 2022/2023, Fahamu Namba ya NIDA (NIN), Download Your National ID (NIDA) Number-NIN Here

MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetoa maelekezo kuhusu hatua za kufuata mtu anapopoteza kitambulisho chake ili aweze kupata kitambulisho kipya.

NIDA imelazimika kutoa maelezo hayo baada ya mtumiaji mmoja wa mtandao wa kijamii kuhoji kwanini utoaji wa pasi za kusafiria za kielektroniki unakulazimu kuwa na kitambulisho cha taifa. Mtu huyo alihoji itakuwaje kwa wale watakaokuwa wamepoteza vitambulisho vyao na wanahitaji pasi za kusafiria.

NIDA wameeleza kwamba, yeyote aliyepoteza kitambulisho chake atatakiwa kutoa taarifa polisi lakini pia atalipia TZS 20,000 ambayo ni gharama ya kuweza kutengenezewa kitambulisho kingine.

“Fika kwenye ofisi yetu ya usajili Wilaya unayoishi /uliyojisajili, utapatiwa fomu kwa ajili ya kupeleka polisi ili upatiwe Loss Report (taarifa ua upotevu), pamoja na fomu yenye namba ya akaunti kwa ajili ya kufanya malipo ya TZS 20,000/= gharama za kuzalisha kitambulisho kipya.”

Aidha, NIDA wamesema baada ya kupatiwa taarifa hiyo ya kupotea kwa kitambulisho, ataiwasilisha katika ofisi zao kwa ajili ya kuanza mchakato wa kupatiwa kitambulisho kipya.

“Baada ya kukamilisha malipo, utawasilisha hati ya malipo pamoja na loss report kwenye ofisi yetu ya usajili ili kuanza utaratibu wa kutengenezewa na kupatiwa kitambulisho kingine.”

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *