LIVE USM ALGER VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 4:00 Usiku.

LIVE MAN CITY VS MAN UNITED Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 11:00 Jioni.

Jinsi ya Kuandika CV ( Wasifu)

Filed in Makala by on 30/03/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

Jinsi ya Kuandika CV ( Wasifu)

Jinsi ya Kuandika CV ( Wasifu), Jinsi ya kuandika barua ya kikazi,Format ya CV,Sample ya CV pdf,Cv ya kiingereza,Jinsi ya kuandika CV na mfano wake kwa kiswahili,Wasifu binafsi,Referees in cv in Swahili,Jinsi ya kuandika barua rasmi,Jinsi ya kuandika wasifu,Jinsi ya kuandika barua ya kikazi.

Jinsi ya Kuandika CV ( Wasifu), Jinsi ya kuandika barua ya kikazi,Format ya CV,Sample ya CV pdf,Cv ya kiingereza,Jinsi ya kuandika CV na mfano wake kwa kiswahili,Wasifu binafsi,Referees in cv in Swahili,Jinsi ya kuandika barua rasmi,Jinsi ya kuandika wasifu,Jinsi ya kuandika barua ya kikazi.

Jinsi ya Kuandika CV ( Wasifu)

CV au wasifu ni kitu cha lazima kwa yeyote anayeomba kazi. Watu wengi wanaokosa kazi, tatizo huwa siyo wao, bali tatizo huwa ni CV zao. Kumekuwa na makosa mengi katika uandishi wa CV jambo ambalo limesababisha watafuta kazi wengi kushindwa kuitwa kwenye usaili.

WATU Wengi nchini wamekosa ajira na makampuni hupokea wastani wa maombi 200 ya kazi kwa tangazo moja la kazi.

Hivyo, CV yako lazima ikae vizuri ili kumshawishi mwajiri. Utaratibu wa kuomba kazi inaweza ikawa tofauti kati ya makampuni na mashirika, ila yote yatahitaji uwatumie CV.

CV ni nini?
CV ni maelezo ya ujumla kwa kiundani ya historia yako ya kazi na shule. Kawaida, inatumika kwenye maombi ya kazi ya nafasi za kati, za juu na za utafiti.
Mambo yafuatayo yatasaidia kuifanya CV yako iwe bora na hivyo, kukusaidia kupata interview za kazi.
Soma na kuelewa maelezo ya kazi
Una ujuzi gani? Mwajiri anatafuta mfanyakazi wa aina gani? Maswali haya ni muhimu kujua kama utaiweza hiyo kazi au la. Pia, ni vizuri kujua nini hasa ni muhimu kwa muajiri na kufanya maombi yako yaendane zaidi na mahitaji ya mwajiri.
Kwa mfano, kama kazi inaweka umuhimu kwenye ujuzi wa kutumia mitandao ya kijamii kwa matangazo, hakikisha CV yako ina kazi zote zilizohitaji matumizi ya mitandao ya kijamii.
Andika maneno muhimu yaliyotumika kwenye maelezo ya kazi, uzitumie kwenye CV
Usichukue sentensi nzima kutoka kwenye maelezo ya kazi na ukaitumia vile vile kwenye CV yako. Ila, tumia lugha na baadhi ya maneno yaliyotumika kwenye CV.
Fanya utafiti juu ya kampuni iliyotangaza kazi

Pamoja na kuchambua maelezo ya kazi, ni muhimu kufanya utafiti juu ya kampuni yenyewe. Kama wana tovuti au wapo kwenye mitandao ya kijamii, jaribu kujua ni kazi gani na sekta ipi wanayohusika nayo.

Pia, ikiwezekana jaribu kuwajua wafanyakazi/meneja wa kampuni hiyo. Hii itakusaidia kujua maadili na muelekeo wa kampuni. Hii itakusaidia kuweka maombi yako ya kazi yaendane na kampuni hiyo.

Orodhesha ujuzi wako wakufanya kazi
Hapa, usiweke kazi zote ulizozifanya maishani mwako ila, weka zile ambazo zilikuongezea ujuzi utakayo kusaidia kufanya kazi unayoomba.
Format/Staili inayotumika zaidi kwenye kuandika CV:
   1. Lengo la CV na ujuzi wako
    2.Ujuzi wako wa kazi
   3. Mafanikio maalum
   4. Elimu
   5. Ujuzi muhimu binafsi
Angalizo:
  1.  Tumia maandishi ya kawaida ya Times New Roman
  2.  Tumia size 9 – 12 ya herufi
  3.   Hakikisha unatumia staili moja ya kuandaa CV kote
  4.   CV isiwe zaidi ya ukursasa 2
  5.   Usitumie sentensi ndefu
  6.  Hakikisha CV yako inasomeka kiurahisi na inawasilisha   mafanikio yako kwa uwazi.
  7.  Anza na kazi yako ya sasa hivi au ya hivi karibuni alafu rudi nyuma.
   .Hakikisha yafuatayo:
1.Ukiwa unaandika jina la kampuni uliyo fanya kazi, andika jina la kampuni kikamilifu.
2.Eleza kwa ufupi kampuni yao inahusika na nini. Tatu, weka muda uliyofanyakazi hapo (mwezi na mwaka).
3.Baada ya hapo, orodhesha kazi na majukumu lako kwenye hilo kampuni.
4.Usidanganye
Maandalizi ya Mwisho
1.Pitia kila kitu kwa mara ya mwisho
 -Print CV yako alafu ipitie. Hii huwa inasaidia kuona makosea yako.
2.Mpe Rafiki  yako apitie CV
-Muombe rafiki yako apitie CV yako. Macho manne ni bora zaidi ya mawili!
Hatua ya kwanza kwenye kupata kazi unayotaka ni kutuma maombi. Tunatumaini kwamba maelezo yaliyoelezwa humu yatakusaidia kuandaa CV bora kwaajili ya mwajiri.
Sasa, kwa kuwa umeshajua jinsi ya kuandika CV safi, anza kutafuta kazi unayoitaka kwa kubofya hapo chini.

Sehemu ya pili Jinsi ya Kuandika CV ( Wasifu)

Makala hii itakueleza namna sahihi ya kuandika CV, utaitwa katika ‘interview’ nyingi endapo utaandika CV sahihi. Tena nakukumbusha, kila taaluma ina aina yake ya CV, CV ya rubani haifanani na CV ya injinia. Vivyo hivyo, CV ya mpishi haifananani na CV ya Mwalimu.

Hatua ya kwanza nitaonesha mfano wa CV kwa lugha ya Kiswahili na hatua ya pili nitaonesha mfano wa CV kwa lugha ya Kiingereza halafu utachagua mwenyewe utumie lugha gani katika kuandika CV yako.

Mfano wa CV ya Kiswahili
WASIFU WA SAMWEL MANATI MALUMBAGA
Taarifa za Awali
Jina: Samwel Manati Malumbaga
Ndoa: Ameoa
Barua Pepe: samwelimbaga@gmail.com
Simu: 0756 99 23 62
Utaifa: Mtanzania
Tarehe ya kuzaliwa: 02/05/1982
Historia ya Elimu
2007-2008, VETA Dodoma.
2013-2016, Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege. Cheti cha Kidato cha Nne.
19966-2012, Shule ya Msingi Makole. Cheti cha Darasa la Saba.

Uzoefu
2012-2013, Mgodi wa Bulyanhulu.
Maarifa
– Kutumia Kompyuta.

Ninapenda
Kufanya kazi, Kufundisha, Kusoma, Kujifunza mambo mapya.

Wadhamini:
1. Aman Samsoni
Barua Pepe: Amansamsoni@gmail.com
Contact: 0754 902165
Dar es Salaam.

2. Daud Samwel,
Mkufunzi,
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,
S.L.P 35040,
Dar es Salaam.

Mfano wa CV ya kiingereza

CURRICULUM VITAE OF MATIKO PANDAMELI
Particulars
Name: Matiko Pandameli
Marital status: Single
E-mail: alez@gmail.com
Telephone: 0682 251 312
Nationality: Tanzanian
Date of birth: 14/10/1990

PROFILE
I am a creative, influential, corporative and enthusiastic person with well-organized performance, intellectual and competence in the areas of health.

Academic Background
Duration
Institute attended
Award
2017-2019
Rukwa College of Health and Allied Sciences
Diploma in Medical Attendant
2015-2017 Bagamoyo Secondary School Advanced Certificate of Secondary Education (ACSE)
2011-2014 Nkasi Secondary School Certificate of Secondary Education(CSE)
2004-2010
Namanyere Primary School Certificate of Primary Education

Work experience
Place: Nazareti Dispensary in Mbozi Songwe
Position: Medical attendant
Date: October 2014 – January 2015
Place: Matai Dispensary in Karambo Rukwa
Position: Medical Attendant
Date: March 2016 – May2016
Language Proficiency
Swahili: Excellent written and oral skills.
English: Excellent written and oral skills.
Skills
– Presentation and teaching skills.
– Communication skills.
– Good interpersonal skills.
– Computer literate: competent in MS Word, MS Excel, MS Publisher, MS PowerPoint.

Interests
Teaching, social networks, creative writing, music, reading books, football, swimming, playing game.
Referee available on request
Mwalimu Makoba,
Mwalimu Makoba Open School,
Email: daudmakoba@rockemail.com,
Contact: 0754 89 53 21,
Dar es Salaam.

Mr. David Mwakimonga,
Assistant Lecturer,
University of Dar es Salaam,
P. O. Box 35040,
Dar es Salaam.

Mr. Jonathan Tangwa,
Principal of IEDS,
P.O.Box 7775,
Dar es Salaam.
Declaration
I, SAMWELI MANATI MALUMBAGA, do hereby declare and state that, the information given on this curriculum vitae is true to the best of my knowledge.

Mfano wa Pili wa CV ya Kiingereza
Mfano huu ni wa CV ya kitaalamu zaidi. Kazi zote nilizowahi kuomba, niliandaa CV yangu katika mfumo huu na mara zote niliitwa katika interview. Watu wengi niliowahi kuwaandikia CV na ninaoendelea kuwaandikia CV nimekuwa nikitumia mfumo huu unaokubalika kwa waajiri wote, yaani binafsi na serikali. Tazama mfano wake:

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *