LIVE MBEYA CITY VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 10:00 Jioni.

LIVE SIMBA VS POLISI TANZANIA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 1:00 Usiku. 

JINSI ya Kujaza Fomu ya Maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA)

Filed in Makala by on 04/06/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

JINSI ya Kujaza Fomu ya Maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA)

JINSI ya Kujaza Fomu ya Maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA),Jinsi ya Kujaza Fomu ya Maombi ya Utambulisho wa Taifa kwa Raia wa Tanzania, FAHAMU NAMNA YA KUJAZA FOMU YA MAOMBI YA UTAMBULISHO WA TAIFA.

Jinsi ya kujaza FOMU ya kitambulisho cha taifa,Jinsi ya kupata copy ya Kitambulisho cha Taifa kwa haraka,Picha Ya Kitambulisho Cha Taifa,Fomu ya maombi ya nida,Jinsi ya kujaza form ya NIDA online,Fomu ya NIDA Download,eonline.nida.go.tz,https://eonline.nida.go.tz,Nida Online Copy,https://nida.go.tz,Fahamu namna ya kujaza fomu ya maombi ya Utambulisho wa Taifa,PDFCITIZEN APPLICATION FORM NIDA,Mambo ya Kuzingatia wakati wa usajili wa NIDA,PDF NIDA Application form 1A new.pdf,National Identification Authority - NIDA,NIDA Fomu ya maombi ya kitambulisho cha taifa - National ID,YA KUJIANDIKISHA KUPATA KITAMBULISHO CHA TAIFA,NIDA registration form PDF – NIDA Fomu ya maombi ya kitambulisho,Nifanyaje ili niweze kupata kitambulisho cha Uraia/Taifa?

JINSI ya Kujaza Fomu ya Maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA)

 • Jaza fomu kwa kalamu ya wino mweusi na kwa herufi kubwa (sifa mhusika uwe na umri miaka 18 na zaidi).
 • Fomu hiyo inapatikana kwenye ofisi ya Usajili ya NIDA Wilaya/Serikali ya Mtaa/Kijiiji/Sheia unakoishi ama kwenye Tovuti yetu http://www.nida.go.tz
 • Jaza taarifa za kweli na kwa usahihi zikiwemo za majina yako, wazazi, umri, makazi na uraia.
 • Hakikisha una saini fomu yako ya Ombi la Utambulisho wa Taifa kwenye kipengele Na.59/60.
 • Gonga muhuri fomu yako ya Utambulisho wa Taifa kwenye Serikali ya Mtaa unakoishi miezi 6 na zaidi kipengele Na. 59/60.

Download Fomu ya Maombi kwa Raia wa Tanzania

Fomu ya Maombi kwa Wageni Wakazi

Baada ya kukamilisha kujaza fomu ya Ombi la Utambulisho wa Taifa, unatakiwa kuambatisha viambatisho vya kutambulisha uraia, umri na makazi kama vile:

 • Cheti cha kidato cha nne ( iv).
 • Cheti cha kidato cha sita (vi).
 •  Cheti cha elimu ya Msingi.
 • Kadi ya Bima ya afya.
 • Pasi ya kusafiria.
 • Leseni ya udereva.
 • Namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN).
 • Kitambulisho cha mzanzibar kwa mkaazi.

Unapo ambatisha viambatisho hivyo, hakikisha vifuatavyo havikosekani kwani ni vya lazima:

 • Cheti cha kuzaliwa (lazima).
 • Barua ya utambulisho wa makazi kutoka Serikali ya Mtaa unakoishi mwombaji (lazima) pamoja na
 • Nyaraka ya kutambulisha uraia wa wazazi: – cheti cha kuzaliwa au Kitambulisho cha Taifa walau cha mzazi mmojawapo.

Nyaraka yoyote ya lazima ambayo huna, tafadhali unashauriwa kufika kwenye taasisi husika upatiwe maelekezo ili uanze mchakato wa kuipata ndipo urejee NIDA kukamilisha Usajili.

Kumbuka unavyoweka viambatisho vingi zaidi ndivyo uwezekano unakuwa mkubwa wa kupata namba yako ya NIDA na Kitambulisho mapema kwani inasaidia uhakiki wako kukamilika mapema zaidi.

Fika Ofisi ya Usajili ya NIDA kukamilisha Usajili ili taarifa ulizozijaza kwenye fomu ziingizwe kwenye mfumo wa Usajili na Utambuzi wa Watu.

Aidha Namba ya Utambulisho wa Taifa hutolewa ndani ya wiki, na muda usiozidi mwezi iwapo ombi lako limekidhi vigezo.

Muda ukizidi hapo uliza katika ofisi ya NIDA, wilayani ili ujulishwe sababu, yawezekana maombi yako yana mapungufu kama vile kutokamilika kwa viambatisho n.k.

jinsi ya kupata kitambulisho cha nida,nida online registration,picha ya kitambulisho cha taifa,nida online copy,namba ya nida online,jinsi ya kupata namba ya nida vodacom,jinsi ya kupata kitambulisho cha taifa kwa haraka,www.nida.go.tz id copy download,jinsi ya kupata kitambulisho cha nida.

Aidha NIDA imeleta mfumo wa kuomba Kitambulisho cha Taifa (NIDA) mtandoni badala ya kujaza fomu kwa mtendaji wa Kata/Kijiji.

Mfumo wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online

Mfumo wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online

 

Hii ni huduma inayomuwezesha mwombaji wa kitambulisho cha Taifa (Raia au Mgeni mkazi) Kujaza Fomu ya maombi ya Kitambulisho cha Taifa kwa njia ya Kielektroniki akiwa mahali popote.

Baada ya kujaza fomu hiyo, Mwombaji atatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vingine katika Ofisi ya NIDA (Wilaya) iliyo karibu naye kwa ajili ya kukamilisha usajili wa alama za Biometria.SOMA ZAIDI

VIELELEZO VYA LAZIMA KWA RAIA VINAVYOHITAJIKA WAKATI WA UOMBAJI WA KITAMBULISHO CHA TAIFA

 • Cheti cha kuzaliwa cha mwombaji
 • Nakala ya cheti cha kuzaliwa / kiapo cha mzazi mmoja.
 • Kama uraia wa mwombaji ni wakurithi: thibitisha kwa nakala ya cheti cha kuzaliwa au nakala ya kitambulisho cha Taifa cha mzazi mmoja.
 • Kama uraia wa mwombaji ni wa kujiandikisha, thibitisha kwa nakala ya uraia wa kujiandikisha (Dossier Number) ya mwombaji.

Utakachofanya ni kujaza fomu mtandaoni kila kitu ni mtandaoni na kupata kitambulisho ni mtandaoni.

HISTORIA YA NIDA

Wazo la kuanzisha Vitambulisho vya Taifa kwa raia wa Tanzania na wageni waishio nchini Tanzania lilizaliwa mwaka 1968 katika kikao cha “Interstate Intelligence Gathering” kilichojumuisha wajumbe Kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Uganda na Zambia.

Kwa wakati huo nchi za Kenya na Zambia tayari zilikuwa na Vitambulisho vyao vya Taifa. Iliazimiwa kwamba ili kuimarisha mahusiano ya kiusalama yanayozingatia Utawala wa Sheria katika nchi hizo nne ni lazima nchi za Uganda na Tanzania nazo zikatoa Vitambulisho vya Taifa kwa raia wao.

Kumekuwa na jitihada mbalimbali za Serikali kuhakikisha Watanzania na wageni wakazi wote wanapatiwa Vitambulisho vya Taifa, lakini jitihada hizo hazikuweza kuzaa matunda yaliyotajariwa kwa kipindi kirefu kutokana na sababu mbalimbali.

Mwaka 1986 Serikali ilitunga Sheria ya Vitambulisho ambayo haikutumika wala kutungiwa kanuni zake.

Ni wazi kwamba kwa wakati huu kuna umuhimu mkubwa wa kuwa na Vitambulisho vya Taifa kulingana na mazingira yaliyopo.

Kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo nchi tano zimeungana na kukubaliana kwamba watu wa nchi hizo wanaweza kutembeleana bila bughudha pia kumeongeza umuhimu wa kuwa na Vitambulisho.

Ikumbukwe kuwa Tanzania ndiyo nchi pekee katika Jumuiya hiyo ambayo haina Vitambulisho vya Taifa.

Upembuzi yakinifu wa Vitambulisho vya Taifa uliofanyika mwaka 2006 umedhihirisha kuwa Mradi unatekelezeka.

Aidha taarifa hiyo imeainisha makadirio ya gharama za Mradi na namna mradi utakavyotekelezwa ambapo teknolojia ya “Smartcard” ndiyo itakayotumika kama ilivyokubaliwa na Baraza la Mawaziri katika kikao kilichokaa mjini Dodoma mwezi February, 2007.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Jakaya Mrisho Kikwete tayari ametia saini Hati ya kuidhinisha kuanzishwa kwa chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa kinachojulikana kama Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa au “National Identification Authority (NIDA)”.

Hati hii imechapishwa katika Gazeti la Serikali, GN No.122 ya tarehe 01/08/2008.

Aidha katika Kikao chake cha tarehe 3 February, 2007 Baraza la Mawaziri lilitoa mwongozo kuwa iundwe Kamati ya Usimamizi (Steering Committee) ya Makatibu Wakuu, Wakuu wa Idara na Vitengo vinavyohusika na mambo muhimu kuhusu Vitambulisho vya Taifa.

Kamati hii pamoja na mambo mengine itakuwa na jukumu la kutoa mwongozo na mwelekeo wa programu za Mradi.

Baraza pia liliamua kuwa taarifa ya upembuzi yakinifu ya Kampuni ya Gotham International Limited (GIL) iwe ndio mwongozo wa utekelezaji wa Mradi na Kampuni hiyo iliteuliwa kuwa Mshauri Mwelekezi wa Mradi.

Katika hatua nyingine, Serikali ilitoa mwongozo kuwa taarifa mbalimbali za utekelezaji wa mradi ikiwemo ile ya mshindi wa zabuni ya mkandarasi wa kutengeneza mfumo wa Vitambulisho vya Taifa ziwasilishwe katika Baraza la Mawaziri ili kupata ridhaa yake.

JINSI ya Kujaza Fomu ya Maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Jinsi ya kujaza FOMU ya kitambulisho cha taifa,Jinsi ya kupata copy ya Kitambulisho cha Taifa kwa haraka, Picha Ya Kitambulisho Cha Taifa,Fomu ya maombi ya nida,Jinsi ya kujaza form ya NIDA online,Fomu ya NIDA Download,eonline.nida.go.tz,https://eonline.nida.go.tz,Nida Online Copy, https://nida.go.tz,Fahamu namna ya kujaza fomu ya maombi ya Utambulisho wa Taifa,PDF CITIZEN APPLICATION FORM NIDA, Mambo ya Kuzingatia wakati wa usajili wa NIDA,PDF NIDA Application form 1A new.pdf, National Identification Authority – NIDA,NIDA Fomu ya maombi ya kitambulisho cha taifa – National ID,YA KUJIANDIKISHA KUPATA KITAMBULISHO CHA TAIFA,NIDA registration form PDF – NIDA Fomu ya maombi ya kitambulisho, Nifanyaje ili niweze kupata kitambulisho cha Uraia/Taifa?

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *