JINSI ya Kujiunga na JKT
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
Jinsi ya Kujiunga na JKT
Jinsi ya Kujiunga na JKT, How to Join JKT Tanzania, Sifa za Kujiunga na JKT, Umri wa JKT, JKT Tanzania, Nafasi za kazi JKT Tanzania 2023, Jinsi ya Kujiunga na JKT 2023 How to Join JKT Tanzania – Complete Guide, Jinsi ya Kujiunga na JKT 2023 How to Join JKT Tanzania

Jinsi ya Kujiunga na JKT
VIJANA WA JESHI LA KUJENGA TAIFA
Jeshi la Kujenga Taifa limekuwa chimbuko la kuandaa vijana kuajiriwa na vyombo vya Ulinzi na Usalama nchini kama JWTZ, Polisi, Magereza, Usalama wa Taifa na taasisi binafsi za ulinzi.
Hivyo Jeshi la Kujenga Taifa linachukua vijana wa kujitolea na mujibu wa Sheria na kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi.
Masharti ya kijana wa kujitolea kwaajili ya kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa.
1.Awe raia wa Tanzania
2.Awe na Umri kati ya miaka 18-23
3.Awe amemaliza darasa la saba na kuendelea
4.Asiwe ameoa au kuolewa na asiwe na mtu yeyote anayemtegemea
5.Awe tayari kufuata sheria zote za kijeshi zitazokuwa juu yake wakati akiwa Jeshini(kutoroka,wizi,ulevi,uvutaji bangi, madawa ya kulevya na upatikanaji wa mimba n.k) Jeshini ni makosa makubwa na utaweza kushtakiwa na kufutiwa mkataba na JKT.
6.Awe tayari kurudi nyumbani baada ya kumaliza mkataba wake na Jeshi la Kujenga Taifa
7.Awe na tabia na mwenendo mzuri

Jinsi ya Kujiunga na JKT
Masharti ya kijana na mujibu wa sheria kwaajili ya kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa.
1.Awe raia wa Tanzania
2.Awe na Umri kati ya miaka 18-35
3.Awe amemaliza kidato cha sita na kuendelea
4.Awe tayari kufuata sheria zote za kijeshi zitazokuwa juu yake wakati akiwa jeshini(Uvutaji bang, madawa ya kulevya na upatikanaji wa mimba atashitakiwa na kufutiwa mkataba na JKT
5.Utoro haukubaliki na kosa la utoro mkataba utasogezwa mbele
6.Awe na tabia na mwenendo mzuri
UJUE UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JKT.
JKT huandikisha vijana wa kujitolea kutoka mikoa yote ya hapa nchini kila mwaka. Utaratibu unaotumika ni kwa JKT kuandika barua kwa wakuu wa Mikoa na kuanisha nafasi ambazo mkoa umetengewa.
Baada ya Mkoa kupata barua kutoka kwa Mkuu wa JKT na idadi ya nafasi za vijana waliopangiwa kujiunga. Mkoa hugawa nafasi hizo kulingana na wilaya zake.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Pia wilaya zinatakiwa kupeleka katika tarafa, kata na vijiji.Mara nyingi uongozi wa wilaya hubandika tangazo la nafasi hizo katika ubao wao wa matangazo.
JKT hutangaza nafasi za kujiunga na Jeshi hilo kupitia vyombo vya habari vya Serikali na binafsi kwa nia ya kuharakisha taarifa zinamfikia kila mwananchi hasa vijana.
Usaili wa awali hufanyika chini ya Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya wanakotoka vijana hao, baadae hufanyika mkoani, ili kupata idadi ya vijana wa mkoa mzima.
Zoezi hilo linapokamilika mikoani, JKT hutuma timu za maafisa na askari kutoka Makao Makuu ya JKT kwaajili ya kuhakiki vijana waliosailiwa katika mikoa yote ya Tanzania Bara.
Vijana hupimwa afya zao na kusafirishwa katika vikosi vya JKT.
- RATIBA Mechi Za Simba SC NBC Premier League 2022/2023
- KIKOSI Cha Yanga SC msimu wa 2022/2023
- RATIBA kamili Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/2023
- RATIBA Mechi za Yanga SC NBC Premier League 2022/2023
- KIKOSI Cha Simba SC msimu wa 2022/2023
- KANUNI mpya za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023)
- PAKUA/Download App ya Nijuze Habari Kutazama LIVE/Mubashara Mechi Zote
- MSIMAMO NBC Premier League 2022/2023 Table Standings
- WAFUNGAJI Bora Ligi Kuu Tanzania Bara (Top Scorers NBC Premier League 2022/2023)
- MATOKEO raundi ya pili NBC Premier League 2022/2023
- RATIBA Raundi ya Tatu NBC Premier League 2022/2023
- UNIVERSITY Selection Waliochaguliwa Vyuo Vikuu 2022/2023
- KARANI wa SENSA hajafika kwako? zimeongezwa siku 7 (fanya haya ili uesabiwe)
- MATOKEO Simba vs Ahsante Katoko, (Mchezo wa Kirafiki August 28,2022)
- WALIOPATA Mkopo 2022-2023/HESLB Loan Allocation Status
- TAMISEMI: Walioitwa Kazini Ajira za Afya 2022
- MATOKEO Simba SC vs Al Hilal (Mechi ya Kirafiki August 31, 2022)
- MAGAZETI ya Tanzania Leo Alhamisi September 01,2022
- RATIBA ya Mechi za Yanga mwezi September 2022
- RATIBA ya Mechi za Simba SC mwezi September 2022
- MAYELE asaini mkataba mpya Yanga
- MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa September 02,2022

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Tags: Faida za kujiunga na jkt, Fomu ya kujiunga na JKT 2023, Historia ya jkt, How to Join Complete Guide, How to Join JKT Tanzania, Jinsi ya Kujiunga na JKT, JINSI ya Kujiunga na JKT 2022, Jinsi ya Kujiunga na JKT 2022 How to Join JKT Tanzania, Jinsi ya Kujiunga na JKT 2022 How to Join JKT Tanzania – Complete Guide, Jinsi ya Kujiunga na JKT 2023, Jinsi ya Kujiunga na JKT 2023 How to Join JKT Tanzania, Jinsi ya Kujiunga na JKT 2023 How to Join JKT Tanzania – Complete Guide, Jkt ilianzishwa mwaka gani, JKT Tanzania, JKT Tanzania 2022, Kambi Za JKT Tanzania, Mafunzo ya jkt, Makao makuu ya jkt dodoma, Nafasi za kazi JKT Tanzania 2022, Nafasi za kazi JKT Tanzania 2023, nafasi za kujiunga na jkt 2022/2023, Nafasi za kujiunga na JKT 2022/2023 pdf, Nafasi za kujiunga na JKT 2023 zinatoka lini, Sifa za Kujiunga na JKT, Tofauti ya jkt na jwtz, Umri wa JKT, Vifaa vya kujiunga na jkt, www.jkt.go.tz matangazo
Naitwa Anord mgumba npo mkoa wa iringa maombi na kujiunga na Jkt umri 21 kwa mwaka wa 2023/24