Nijuze Habari App

JINSI ya kupika Keki kwenye Jiko la Mkaa

Filed in Makala by on 09/05/2023 0 Comments
Share This

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

JINSI ya kupika Keki kwenye Jiko la Mkaa

JINSI ya kupika Keki kwenye Jiko la Mkaa, Jinsi ya kupika keki ya mayai 3,Jinsi ya kupika keki pdf,Jinsi ya kupika keki bila maziwa,Jinsi ya kupika keki robo kilo,Jinsi ya kupika keki laini na tamu,Keki za birthday,Jinsi ya kupika keki ya chocolate,Jinsi ya kupika keki kwa kutumia oven,Jinsi ya kupika keki ndogo,Jinsi ya kupika keki ya mayai 4,Mapishi ya keki video,Jinsi ya kutengeneza keki za biashara,Jinsi ya kupika cake ya vanilla,BEI ya oven ya kuoka keki,Keki za birthday.

MAHITAJI

 • Unga vikombe = 2
 • Maziwa kikombe =1
 • Sukari kikombe =1
 • Siagi kikombe =1
 • Baking powder vijiko vidogo = 2
 • Mayai 6 ya kienyeji
 • Vanilla matone mawili au Limao = 1

Zingatia Limao au Vanilla hutumika kwaajili ya kupunguza harufu ya mayai kwenye Keki.

kwa hiyo ukikosa Vanilla unweza kutumia maganda ya Limao. Pia andaa jiko lako la mkaa mapema ili lipate joto pamoja na sufuria iliyopakwa siagi ndani ili kuzuia keki kuganda.

HATUA

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 
 • Andaa bakuli lako na mwiko ambao utatumia kuchanganya mchanganyiko wako
 • Chukua kikombe kimoja cha siagi na utie katika bakuli pamoja na kikombe kimoja cha sukari.
 • Koroga mchanganyiko wa sukari na siagi mpaka pale utakapolainika na chembe chembe za sukari kupotea kabisa
 • Weka yai moja baada ya jingine huku ukiendelea kuukoroga mchanganyiko wako bila kupumzisha mkono
 • Weka matone mawili ya vanilla au maganda ya limao huku ukiendelea kuchanganya.
 • Weka unga vikombe viwili uliochanganywa na baking powder kwenye mchanganyiko wako na endelea kuukoroga taratibu
 • Baada yahapo tia maziwa kikombe kimoja nauchanganye taratibu
 • Mimina taratibu mchanganyiko wako kwenye sufuria maalumu yakupikia iliyopakwa siagi.
 • Zingatia Iwapo utapenda keki yako iwe na rangi unaweza ukaweka kokoa kwenye mchanganyiko wako.
 • Weka sufuria ya mchanganyiko katika jiko lenye joto la wastani kwa muda wa nusu saa, funua keki yako ingiza stiki au uma ikitoka safi ipua itakua ishaiva

Baada ya hapo toa keki yako tayari kwakuliwa😋😋😋

UNAWEZA PIA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *