JINSI ya kushinda Mamilioni na ZEPPELIN SOKABET

Filed in Michezo by on 28/01/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

JINSI YA KUPATA PESA MTANDAONI NA SOKABET

YALIYOMO
1.UNACHEZAJE ZEPPELIN?
2.JAKPOTI ZA ZEPPELIN
3. DROP ZA ZEPPELIN
4. CASHBACK ZA ZEPPELIN

Unaweza ukawa unajiuliza kuwa ni sehemu gani ambapo utaweza kujipatia fedha kupitia simu yako ya mkononi; jibu ni moja tu SOKABET ina mchezo uitwao ZEPPELIN wenye kukupa nafasi ya kuuaga umaskini.

Kwenye tovuti/APP ya SOKABET juu kulia utaona alama ya ndege imeandikwa ZEPPELIN; Ukiibonyeza unaingia kwenye mchezo huu pendwa. Ili twende sawa, Jisajili kwanza kwa KUBOFYA HAPA

1:UNACHEZAJE ZEPPELIN?

Zeppelin ni mchezo unaohusisha uzidishaji wa thamani ya dau lako uliloweka hapo awali. Kunakuwa na ndege inayopaa.

HATUA YA KWANZA ni kuweka dau lako. Kama picha hapa chini inayoonyesha, kushoto chini kumeandikwa BET. Wewe andika kiasi chako unachotaka kuweka.

Kumbuka mchezo huu wa SOKABET ZEPPELIN unatumia dola sio shilingi kwahiyo piga hesabu na kiwango cha chini ni shilingi 230 ambayo dola 0.1; weka DOLA 0.2 kama unataka ucheze kwa shilingi 460, yaani wewe kumbuka tu kwamba DOLA MOJA NI SHILINGI 2,305 (hii hubadilika kulingana na soko).

Kwa hapa mimi nitaweka DOLA 0.1 na kusubiria raundi inayofuata.

HATUA YA PILI ni kuweka beti yako. UTASUBIRI MPAKA RAUNDI IISHE (NDEGE ILIPUKE) Kisha kuna muda wa sekunde 6 za wewe kuweka beti yako.

Utabonyeza palipoandikwa PLACE YOUR BET. Kisha subiri.

HATUA YA TATU Kila raundi inaanza na 1.00 kisha inaanza kupanda huwa inaweza kufika hadi 900. Ila inalipuka muda wowote. Inaweza kulipuka kwenye 1.00 hiyo hiyo, 2.02, 5.06 yaani namba yoyote ile. Kwa hiyo ndege inavyoanza kupaa basi thamani ya ushindi wako inaanza kuongezeka.

Unachotakiwa wewe kufanya ni kubonyeza CASHOUT (kuokoa mkeka) kabla haijalipuka ndipo unakuwa umeshinda.

Ikipasuka kabla hujabonyeza CASH OUT unakuwa umepoteza dau lako. Kama uliweka dola 1 na ikapaa kisha ukabonyeza CASHOUT kwenye 2.00 basi ile dola yako inazidishwa mara 2.00 ndio ushindi wako.

Kwa kuwa mimi niliweka DOLA 0.1 basi ilipofikia 2.09 nikabonyeza CASHOUT

Hivyo nimeshinda DOLA 0.21, nikitaka kucheza tena basi nasubiri raundi iishe kisha na PLACE BET tena. Namna hiyo unaweza kujikuta mambo yanakuendea vizuri kabisa.

2:JAKPOTI ZA ZEPPELIN Mbali na hayo marupurupu unayoweza kujishindia kuna jackpot kubwa mbili. Moja inaitwa OKSIJENI na nyingine inaitwa HELIUM.

Jackpot zote hizi mbili hugawanywa kwa wachezaji muda wowote. Kwa hiyo walioko ndani ya mchezo kwa muda huo hunufaika na mgawanyo wa jackpot ya ZEPPELIN. Ili upate gawio inatakiwa uwe ume-CASH OUT helikopta inapofika namba 2 na kuendelea.

3.DROP YA ZEPPELIN Lakini pia kuna wale wanaoishiwa dau. Kuna bonas ya DOLA 250 ambayo hutolewa kwa wacheza ZEPPELIN kila baada ya saa moja, kila siku.

Jina maarufu ni DROP. DROP hii kwa kawaida hufanyika kila inapotimu saa kamili.

4.CASHBACK YA ZEPPELINI Kama kawaida ya SOKABET, ukipata hasara kuanzia shilingi 10,000, unapaswa kupiga simu kitengo cha huduma kwa wateja SOKABET namba 0746983630.

Hii ndiyo namna ya kupata pesa mtandaoni na SOKABET.Furahia huku ukipiga pesa za ZEPPELIN Ingia kwenye tovuti ya SOKABET Ujisajili kwa KUBOFYA HAPA

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *