LIVE MBEYA CITY VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 10:00 Jioni.

LIVE SIMBA VS POLISI TANZANIA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 1:00 Usiku. 

JINSI ya Kutuma Maombi Ajira Za Walimu 2023/2024

Filed in Ajira by on 12/04/2023 1 Comment
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

JINSI ya Kutuma Maombi Ajira Za Walimu 2023/2024

JINSI ya Kutuma Maombi Ajira Za Walimu 2023/2024,OTEAS Online Teachers Application System 2023/2024 OTEAS Tamisemi Job Teacher 2023/24 Application System Tamisemi OTEAS System 2023 immediately here, Register to the Online Teachers Application System (OTEAS).

JINSI ya Kutuma Maombi Ajira Za Walimu 2023/2024,OTEAS Online Teachers Application System 2023/2024 OTEAS Tamisemi Job Teacher 2023/24 Application System Tamisemi OTEAS System 2023 immediately here, Register to the Online Teachers Application System (OTEAS),Ajira za Afya TAMISEMI 2022/2023,OTEAS Ajira za walimu 2023,Nafasi za kazi ya ualimu 2023,Majina ya Ajira Mpya,Jinsi ya kutuma maombi ajira portal,Ajira yako,Ajira Sensa TAMISEMI go tz,Download pdf ajira,Ajira za Walimu 2023,Ajira Afya.

JINSI ya Kutuma Maombi Ajira Za Walimu 2023/2024

Interested Applicant can read more about Tamisemi Online Teachers Application System (OTEAS Tamisemi) Details along with a tentative schedule & Application forms in the article below.

Online Teachers Application System 2023/24,Teachers Application,OTEAS Ajira Za walimu TAMISEMI 2023/2024, Ajira za Walimu 2023, Mfumo wa Maombi ya Ajira, OTEAS Tamisemi 2023 Login, Register, ajira.tamisemi.go.tz, Mfumo wa Maombi ajira za walimu 2023.

TAMISEMI Ajira 21,200 Ualimu Na Afya 2023

Serikali imetangaza Ajira 21,200 kwa kada za walimu na afya ambazo maombi yake yanaanzia leo hadi April 25,2023.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Angela Kairuki ametangaza nafasi hizo leo Jumatano Aprili 12,2023 alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma.

Waziri Kairuki ametaja mgawanyo wa nafasi hizo ni 13,130 ambazo zitachukuliwa na walimu wa shule za msingi na Sekondari huku afya ikitengewa nafasi 8,070 kwa watumishi wa ngazi ya zahanati, vituo vya afya na Hopsitali.

Waombaji ni wahitimu wa nafasi hizo kuanzia mwaka 2015 hadi 2022 ambao watakuwa na sifa stahiki na wasiozidi umri wa miaka 45 lakini wanaofanya kazi za kujitolewa wameitwa kuomba nafasi hizo bila kusema kama watapewa kipaumbele.

“Rais ametoa kibali cha kuajiri watumishi hao nasi tunaanza mchakato huo mara moja kuanzia leo, wanaoajiriwa ni kuanzia ngazi ya cheti hadi Shahada kulingana na kada anayoiomba mhusika,” amesema Kairuki.

Hata hivyo ameonya waombaji watakaodanganya sifa zao katika maombi ikiwemo wenye ulemavu ambao wametengewa nafasi na watakaogushi umri kwani Serikali inachukua watumishi wasiozidi miaka 45.

Amesema waombaji wote wataomba kupitia mtandao wa Tamisemi na waliokuwa wameomba siku nyingi wametakiwa kuhuisha taarifa huku akitoa katazo la waombaji ambao watatuma maombi yao kwa njia ya barua au posta kwamba hayatapokelewa.

Hivyo, wahitimu kutoka kwenye Vyuo vya Elimu ya Juu, Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya Afya vinavyotambuliwa na Serikali wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kuanzia tarehe 12 – 25 Aprili, 2023.

STEP 1: Register to The Online Teachers Application System OTEAS TAMISEMI 

 • Create Account
 • Click on the following link>> Online teachers application system

STEP 2: How to Register to The Online Teachers Application System

 • Fill in the information like your names, mobile numbers, emails
 • After filling in your particulars above, you will be successfully created the account after clicking REGISTER. Then log in to continue to the next step

STEP 3: Filling Of Particular Information
Fill the information LIKE

 • Online Teachers Application System Job Finder Apply Tanzania
 • Personal information
 • Secondary education
 • Academic qualifications
 • Attachments in pdf
 • After filling the information click SAVE

OTEAS Ajira za Walimu Online Teachers Application System 2023/2024

STEP 4: Online Teachers Application System 

 • Last Step >. click on apply for post
 • Proceed other steps as you will be directed

If you already have an account

 1. Enter your form four Index Number (username) and Password to OTEAS Tamisemi login.
 2. After successful login, complete the Application form and submit.
 3. Remember to Login to check your OTEAS Tamisemi  Application Status.

Teachers Online Application.

OTEAS TAMISEMI APPLICATION- Teachers Application
OTEAS TAMISEMI LOGIN – Teachers Application
TEACHERS OTEAS TAMISEMI- Teachers Application
Register to the Online Teachers Application System -(Oteas)OTEAS – tamisemi for Health (AFYA TAMISEMI)
OTEAS Application Status – OTEAS Tamisemi

If you are new applicant use “New Applicant” or “Register” link to begin application process. Then follow the steps to complete your application.

The information above has not been independently verified. However, this article will continue to be updated to reflect official updates as and when they come in.

For more information Visit http://www.tamisemi.go.tz/

Steps to Register with OTEAS Tamisemi 

Job Seekers can follow these steps to register for the OTEAS Tamisemi form online.

 • Visit OTEAS Tamisemi official website https://ajira.tamisemi.go.tz/
 • Click on OTEAS Register link from the home page to Create OTEAS Account
 • Enter the Personal Information and click NEXT button on the registration page.
 • Enter all details on the “OTEAS Tamisemi Form correctly without any mistakes.
 • Upload all documents and Certificates required.
 • Fill in the mandatory details carefully in the fields given.
 • Click on the submit option.
 • Take a printout or Photo by his/her mobile phone of the submitted form for further reference

If you already have an account

 1. Enter your form four Index Number (username) and Password to OTEAS Tamisemi login.
 2. After successful login, complete the Application form and submit.
 3. Remember to Login to check your OTEAS Tamisemi  Application Status.

UNAWEZA PIA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Comments (1)

Trackback URL | Comments RSS Feed

 1. Iddi sufian msuya says:

  Chemistry biology

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *