Nijuze Habari

JKT yatangaza Nafasi za kujitolea ndani Jeshi hilo

Filed in Ajira by on 25/08/2022 0 Comments

JKT yatangaza Nafasi za kujitolea ndani Jeshi hiloMkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena.

Nijuze Habari Application

JKT yatangaza Nafasi za kujitolea ndani Jeshi hilo

JKT yatangaza Nafasi za kujitolea ndani Jeshi hiloMkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena.

JESHI la Kujenga Taifa (JKT) kupitia kwa Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi hilo kwa kujitolea.

Brigedia Jenerali Mabena amesema zoezi la kutuma maombi linaanza rasmi Leo August 25, 2022 na litaratibiwa na Ofisi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa ya waombaji husika.

Aidha amebainisha kuwa Jeshi hilo halitoi Ajira na wala halitahusika kuwatafutia vijana Ajira kwa wale watakaofanikiwa kupata fursa ya kujiunga kujitolea katika Jeshi hilo.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.